Dadake Akothee adaiwa kuwa na uhusiano na Jalango

Cebbie Kobbs, dadake Akothee, ameshugulikia uvumi unoaenea ya kwamba ako na uhusiano wa kimapenzi na Jalango.

Alichapisha,

 BEFORE I POST THE CHOSEN ONE, WHO ARE THEY SAYING I’M DATING. TRUTH OR DARE,’ SHE POSTED(KABLA NIMGHAPISHE NILIYEMCHAGUWA, WANASEMA NINA UHUSIANO NA NANI)

Shabiki mmoja alijibu akisema 'Jalang'o' na jibu hilo lilifunga ukurasa huyo wa swali na jibu na mashabiki wake.