AAWW! Tazama ujumbe wa Barrack Obama kwa mkewe Michelle(PICHA)

oBAMA.jfif
oBAMA.jfif
Rais  wa zamani wa Marekani Barrack Obama leo amewasha mitandao na  kwa ujumbe mtamu aliyomtumia mkewe Michele ambaye leo ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa . Wapenzi hao wawili ambao uhusiano na ndoa yao imetajwa kama kielelezo na kuwavutia wengi   wamefahamika kuwa na  urafiki mzuri sana kama wanandoa .

https://twitter.com/BarackObama/status/1218174463046553600

Michelle leo ametimu umri wa miaka 56 na mume wake katika ujumbe wake  akisema  'In every scene, you are my star'.