Abortion!! Nikiwa mjamzitoi mpenzi wangu hunishauri kuavya

Abortion-696x379
Abortion-696x379
Wazama walisema kuwa wapendanao hupatana katika hafla mbali mbali kama vile ,kwa harusi,mazishi na hata afisini wakifanya kazi.

Lakini huenda kwake Nelly mambo hayajakuwa vizuri katika mahusiano yake na mpenziwe waliyepatana naye katika chumba cha kuavya mimba.

Nelly alisema kuwa anapokuwa mjamzito ,mpenziwe humpeleka katika kituo cha kuavya mimba kama njia ya kumkumbusha kumbukizi za awali maishani mwake.

Akisimulia kumbukizi hizo,alikuwa na haya ya kusema.

.

"Nilipatana naye nilipokuwa njiani nikienda katika kliniki cha kuavya mimba,kwa maana alikuw mzuri niliamua kufungua siri yangu kwake na kumwambia kila kitu

Nilikuwa nataka aonje jinsi nilivyo kabla ya kuavya mimba, tullipekejeng kwenye gari siku hiyohiyo, baada ya pekejeng alinieleka katika kliniki na nikaavya mimba kisha akalipa daktari na akaninunulia dawa ili nipone

Tangu siku hiyo tumechumbiana na ninampenda kwa maana nimtamu sana." Nelly Alieleza.

Si hayo tu yote tisa kumi ni;

" Huwa anafanya kila kitu ninachotaka, lakini ninauoga kwa maana nafikiri hataweza kunioa kwa hakika ninaogopa sana

Kila wakati tunapopekejeng na nimwambie kuwa nina uja uzito uwa ananipeleka mahala tulipatana ili nikaavye uja uzito wenyewe, licha ya hayo yote, amechukua nambari ya simu ya daktari huyo

Tangu tuchumbiane nimekuwa nikiavya uja uzito wake mara tatu Lakini nafikiri ananihukumu kulingana na kitendo changu cha awali, mnafikiri atanioa ama mimi mwenyewe nimuulize." Alisema Nelly.

Ni mambo yapi ya kiujinga ambayo umepitia ukisema kuwa unampenda mpenzi wako?