Acheni aitwe Mungu! Janet Mbugua asherehekea mwanawe

Janet Mbugua na mpenzi wake Eddie Ndichu washerehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wao wa pili.

Janet na mumewe walikuwa na furaha tele kwani ni kwa neema ya Mungu mtoto wao kuweza kusherehekea mwaka mmoja baaada ya kuzaliwa na matata mengi.

Aliyekuwa mwanahabari wa runinga ya Citizen, alijifungua mtoto wake wa pili mwaka uliopita na kisha baaade akapata matatizo mengi ya kiafya.

Ilimbidi binti huyu kufanyiwa upasuaji na kuiondoa nyongo yake (gall bladder)

''I UNDERWENT A SURGICAL PROCEDURE NEXT TO MY NEWBORN, AND IT WAS INSANE. I HAD MULTIPLE MELTDOWNS AND I THANK MY FAMILY MEMBERS (BOTH MINE AND MY HUBBY’S) FOR BEING SUPPORTIVE. THEY WERE THERE FOR ME. MOST INCREDIBLE FAMILIES,’ SHE SAID IN HER VLOG.''

Akisherehekea kuzaliwa kwa mtoto wake, Janet aliandika ujumbe mtamu sana uliosoma,

''IT WAS AROUND THIS TIME, A YEAR AGO TODAY, THAT THIS PRECIOUS, LOVING, UNPROBLEMATIC BABY WAS BORN. HAPPY BIRTHDAY MALI. LOVE YOU IN MY HEART AND MY BONES. KEEP THAT CALM, KIND AND WARM SPIRIT. ALWAYS.

FOLKS, LET’S CONSTANTLY SURROUND OUR LITTLE ONES WITH LOVE, WITH PRAYER, WITH WISDOM, WITH THE INTENTION OF RAISING KINGS AND QUEENS. ''

ILikuwa ni wazi bayana kuwa pia mume wake anampenda mtoto huyu sana kwani pia naye hakuachwa nyuma. Eddie Ndichu aliandika ujumbe mtamu na kuweka picha za mtoto wao kwenye mtandao wa kijamii.

''HAPPY 1ST BIRTHDAY SON. MALI MWAURA NDICHU. 17.09.2019,’ aliandika.

AND JUST LIKE THAT, WE ARE 1 YEAR OLD! HAPPY FIRST BIRTHDAY MALI. MAY GOD FILL YOUR GENTLE SPIRIT WITH GRACE AND FAVOR FOR MANY MORE YEARS TO COME! I LOVE AND BLESS YOU SON! ''