ringtone

‘Adui zangu wanataka nioe ili niuawe,’Ringtone Apoko Adai

Msanii Alex Apoko almaarufu Ringtone anafahamika  kutaka kujulikana sana na mashabiki na umakini kuwa kwake, hasa akitaka kumtafuta kipenzi cha maisha yake.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii msanii Ringtone amekuwa akikejeliwa sana na mashabiki kwa ajili ya lugha yake ya kiingereza, kupitia kwenye mitandao hiyo hiyo msanii huyo alidai kuwa adui zake wanataka aoe ili aweze kuuliwa.

“Maadui zangu wananiambia nioe ili niweze kuuliwa.” Aliandika Ringtone.

Ni ujumbe ambao ulipokelewa na mashabiki na kutoa hisia tofauti huku wengi wakimkejeli kwa lugha yake ya kiingereza, hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki wake;

Mercy De Rono After killing English all this time then how can you survive in marriage???

Matelong Ngoitoi Your friend in the industry is seeing a 50 yr old granny come on, which God are you serving or it’s your money

Justine Obwaya Bro I’m so much concerned about your English we need to talk

Mñårrätïvē Kë At first i thought you were bluffing about your English, i then came to understand you ain’t.. Poor creature with wealth but little grammar😂😂😂 Endea school fees

Paul Junior better marry your English first

Mutonyi Isabella Marriage me and be my husband. I told we will be having so many children and God will bless the union

Brendah Breshly Not at all Apoko, marriage doesn’t deaded people they be happy and fine. Pray God is give a good lady and marriage her a lady who can cook children ,iron husband and water Garden a lady who also has education
May God is Amen give you the lady

Photo Credits: radiojambo

Read More:

Comments

comments