Afueni ya haraka:Orodha ya watu mashuhuri waliopatwa na virusi vya Corona

COVID-19-696x418
COVID-19-696x418
Watu zaidi ya elfu 168  wameambukizwa virusi vya corona huku wengine zaidi ya 7000 wakifariki kote duniani kwa ajili ya ugonjwa huo kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO .

Mkurupuko wa virus hivyo ulinzia China  katika mkoa wa Hubei  ambako watu walishauriwa kujitenga lakini sasa vimesambaa hadi katika maeneo mengi ya ulimwengu . Miongoni mwa watu walioambukizwa virusi hivyo ni watu mashuhuri katika Nyanja mbali mbali wakiwemo wanafilamu ,wachezaji wa soka  na wanaposti wengi

  1. Donovan Mitchell

Mhezaji huyu mwenyeumri wa miaka 23 wa basketball raia wa marekani  alipatikana na virusi hivyo wiki moja iliyopita  alitumia mitandao ya kijamii kuwashukuru mashabiki wake kwa kumwunga mkono .anaichezea timu ya  Utah Jazz

THANKS TO EVERYONE WHO HAS BEEN REACHING OUT SINCE HEARING THE NEWS ABOUT MY POSITIVE TEST. WE ARE ALL LEARNING MORE ABOUT THE SERIOUSNESS OF THIS SITUATION AND HOPEFULLY PEOPLE CAN CONTINUE TO EDUCATE THEMSELVES AND REALIZE THAT THEY NEED TO BEHAVE RESPONSIBLY BOTH FOR THEIR OWN HEALTH AND FOR THE WELL BEING OF THOSE AROUND THEM. I APPRECIATE THE AUTHORITIES IN OKLAHOMA WHO WERE HELPFUL WITH THE TESTING PROCESS AND EVERYONE FROM THE @UTAHJAZZ WHO HAVE BEEN SO SUPPORTIVE. I AM GOING TO KEEP FOLLOWING THE ADVICE OF OUR MEDICAL STAFF AND HOPE THAT WE CAN ALL COME TOGETHER AND BE THERE FOR EACH OTHER AND OUR NEIGHBORS WHO NEED OUR HELP.

Siku ya jumanne Doovan aliwahimiza watu  kuchukua tahadhari kwa kuzuia utangamano na makundi ya watu wengi

I’M SEEING PEOPLE STILL OUT AND GOING TO BARS CLUBS RESTAURANTS BEACHES ETC… AS A COUNTRY LET’S HELP OTHERS AND STAY INSIDE ’ HE TWEETED.

  1. Idris Elba

Muigizaji huyo wa uingereza ,muimbaji na DJ alitangaza siku ya jumatatu kwamba amepatikana na virusi hivyo . Elba mwenye umri wa miaka 47  amesema aliambukizwa baada ya kutangamana na mtu aliyekuwa na virusi hivyo.

THIS MORNING I TESTED POSITIVE FOR COVID 19. I FEEL OK, I HAVE NO SYMPTOMS SO FAR BUT HAVE BEEN ISOLATED SINCE I FOUND OUT ABOUT MY POSSIBLE EXPOSURE TO THE VIRUS,’ HE TWEETED.

Aliongeza

STAY HOME PEOPLE AND BE PRAGMATIC. I WILL KEEP YOU UPDATED ON HOW I’M DOING  NO PANIC.

  1. Callum Hudson Odoi

Mchezaji huyo wa Chelsea  pia aliwashangaza wengi kwa kufichua kwamba ana virusi hivyo ,katika video iliyosambazwa sana mtandaoni Odioi alisema

HI GUYS, AS YOU MAY BE AWARE I HAD THE VIRUS FOR THE LAST COUPLE OF DAYS, WHICH I’VE RECOVERED FROM, “I’M FOLLOWING THE HEALTH GUIDELINES AND SELF-ISOLATING MYSELF FROM EVERYBODY FOR THE WEEK. I HOPE TO SEE EVERYBODY SOON AND HOPE TO BE BACK ON THE PITCH VERY SOON.

4.Kristofer Hivju

Muigizaji  wa filamu ya msururu ya  The Game of Thrones  Kristofer Hivju,  ambaye alicheza kama  Tormund Giantsbane  katika kipindi hicho  kupitia instagram alifichua kupata virusi vya COVID .Aliandika ;

GREETINGS FROM NORWAY! SORRY TO SAY THAT I, TODAY, HAVE TESTED POSITIVE FOR COVID19, CORONA VIRUS. MY FAMILIY AND I ARE SELF-ISOLATING AT HOME FOR AS LONG AS IT TAKES. WE ARE IN GOOD HEALTH – I ONLY HAVE MILD SYMPTOMS OF A COLD. THERE ARE PEOPLE AT HIGHER RISK FOR WHO THIS VIRUS MIGHT BE A DEVASTATING DIAGNOSIS, SO I URGE ALL OF YOU TO BE EXTREMELY CAREFUL; WASH YOUR HANDS, KEEP 1,5 METERS DISTANCE FROM OTHERS, GO IN QUARANTINE; JUST DO EVERYTHING YOU CAN TO STOP THE VIRUS FROM SPREADING. TOGETHER WE CAN FIGHT THIS VIRUS AND AVERT A CRISIS AT OUR HOSPITALS. PLEASE TAKE CARE OF EACH OTHER, KEEP YOUR DISTANCE, AND STAY HEALTHY! PLEASE VISIT YOUR COUNTRY’S CENTER FOR DISEASE CONTROL’S WEBSITE, AND FOLLOW THE REGULATIONS FOR STAYING SAFE AND PROTECTING NOT JUST YOURSELVES, BUT OUR ENTIRE COMMUNITY, AND ESPECIALLY THOSE AT RISK LIKE THE ELDERLY AND PEOPLE WITH PRE-EXISTING CONDITIONS.

  1. Massoumeh Ebtekar

Makamu huyo wa rais wa iran  ni miongoni mwa maafisa wakuu wa serikali walioambukizwa virusi hivyo .naibu waziri wa afya wa iran  Iraj Harirchi  pia aliambukizwa

  1. Tom Hanks nakkewe Rita Wilson

Wanandoa hawa mashuhuri kutoka Hollywood  walitangaza machi tarehe 11 kwamba walikuwa na virusi vya Corona .waliwekwa katika wadi iliyotengwa  katika hospitali moja ya gold coast huko Australia nab ado wapo huko

  1. Mikael Arteta

Kocha huyo wa arsenal mwenye umri wa miaka 37 alipatikana na virusi hiyo

  1. Nadine Dorries

Waziri huyo wa uingereza katika  idara ya afya  alikuwa mwanasiasa wa kwanza wa uingereza kupatikana na virusi hivyo machi tarehe 10 .

  1. Blaise Matuidi

Kiungo huyo wa kati wa ufaransa na juventus  pia amepatikana na virusi hivyo .kisa chake kilitangazwa na kilabu yake machi tarehe 17

  1. Rudy Gobert

Mchezaji huyo wa basketball wa timu ya  Utah Jazz  alipatikana na virusi hivyo wiki jana

I WANT TO THANK EVERYONE FOR THE OUTPOURING OF CONCERN AND SUPPORT OVER THE LAST 24 HOURS. I HAVE GONE THROUGH SO MANY EMOTIONS SINCE LEARNING OF MY DIAGNOSIS…MOSTLY FEAR, ANXIETY, AND EMBARRASSMENT.

THE FIRST AND MOST IMPORTANT THING IS I WOULD LIKE TO PUBLICLY APOLOGIZE TO THE PEOPLE THAT I MAY HAVE ENDANGERED. AT THE TIME, I HAD NO IDEA I WAS EVEN INFECTED. I WAS CARELESS AND MAKE NO EXCUSE. I HOPE MY STORY SERVES AS A WARNING AND CAUSES EVERYONE TO TAKE THIS SERIOUSLY. I WILL DO WHATEVER I CAN TO SUPPORT USING MY EXPERIENCE AS WAY TO EDUCATE OTHERS AND PREVENT THE SPREAD OF THIS VIRUS.

I AM UNDER GREAT CARE AND WILL FULLY RECOVER. THANK YOU AGAIN FOR ALL YOUR SUPPORT. I ENCOURAGE EVERYONE TO TAKE ALL OF THE STEPS TO STAY SAFE AND HEALTHY. LOVE,’ HE POSTED ON SOCIAL MEDIA.

  1. Paulo Dybala

Mchezaji huyo mwenye makao yake nchini Italia  raia wa Argentina alipatikana na virusi hivyo siku ya ijumaa . Italia  ndio nchi iliyoathiriwa sana na virusi hivyo baada ya Uchina baada ya kusajili visa vingi