Tanasha mwenye umri wa miaka 24, ni mjamzito wa miezi saba, ambayo ina maana kuwa baada ya miezi miwili atajifungua.
(PLEASE ADVICE THE NAME……..👇🏼)NYINYI NI NDUGU ZANGU……NYINYI NI FAMILIA YANGU….MNA KILA HAKI YA KUPENDEKEZA JINA LA MTOTO WETU TUMUITE NANI……TAFADHALI PENDEKEZA👇🏼
[Y’ALL ARE LIKE MY FAMILY AND HAVE A RIGHT TO SUGGEST A NAME FOR OUR NEWBORN CHILD. WHAT NAME SHOULD WE GIVE TO HIM? PLEASE BE NICE.]
2019soul2019soul Aitwe majuto maana next year mda kama huu Tanasha atakua na majuto mengi sana. 😂.
lukmamy Kaylan kwa vile nimkenya utakua na nylan dylan na kylanchriskirwaDiaTana … jina Nzuri hilo
dunga_santuri_trinity Mansa Musa Dangote
akiliyababu Jina ni kimonyoski
smashbracket Chibuuuu dangoteeeee!!! Sharp shooter congratulations bro
iam_niryh Muite mwakitombile 😊
fetty.ommy kipindi ulikuwa unampa mimba ulituomba ushauri
trishercriss Shing’weng’we😂😂
malkiawaudaku Masumbuko