‘Aki haya ni mateso’ Tazama alichofanyiwa Njugush na mkewe

Njugush  na mkewe  Celestine Ndinda  ni wacheshi na  mara si moja tumewategemewa watupe tabasamu hasa wakati kama huu mgumu wa kupambana na virusi vya Corona .

Wawili hao maajuzi wamewasha mitandao kwa tabasamu walipodhihirisha kwamba wanaeza kuvunja mipaka yote ili tu kutuchekesha .

Ni dhahiri kwamba ustadi wao katika wanachofanya ni jambo ambalo haliwatoi kijasho. Walimua kufanya mchezo wa kuthubutiana, matokeo yake yalimuacha njugush akiwa mzee kipara na Cele hakuweza kufunga kicheko chake .

Njugush alipoteza bet kwa mkewe na akalazimika kunyoa  kichwa chake ili kusalia na kipara. Picha hiyo akiwa ‘mzee kipara’ iliwavunja wengi mbavu  kwa ajili ya muonekano wake, wengine hata walimpa jina -“Kibaki mdogo”. Sema kukaliwa chapati, ama ni kazi?

Haya hapa baadhi ya maoni yaliyotolewa

dansonko   @celestinendinda wewe ndio yule msee!!!!

flaqo411 𝘈𝘯𝘨𝘢𝘮𝘪𝘢 𝘵𝘶

confreyalianji Kibaki mdogo   Timo uko Na ufala kwenda huko

stevefbai  bibi alienda kujifanya dufanda

je_mappelle_steven unakaa landlord kihara

johniewelding Shida ni aty anakaa ni kama angefanya more … Ogopa this species in skirts

jane.gedion.5 Imagine kumbe wewe na obado mnaweza elewana poa