Akothee aeleza 'drama' iliyomo kwenye mipangilio ya mazishi ya Lady Maureen

Lady-Maureen-singer-696x418
Lady-Maureen-singer-696x418
Kwa kweli msanii Akothee anafahamika kwa roho yake yenye kupenda kuwasaidia watu au wasanii wasiojiweza, msanii huyo amejawa na hasira baada ya madai kuwa hajachanga pesa zozote ili kupandisha mazishi yake mwendazake Lady Maureen.

Akothee ambaye alimsaidia Maureen mapema mwaka huu baada ya kukataliwa na familia yake na kumpeleka katika hospitali kuu ya Jaramogi alisema anafanya kila awezalo ili kumpa Maureen heshima yake ya mwisho.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii katika ujumbe wake Akothee alisema kuwa alimnunulia mwendazake jeneza, nguo na pia kugharamia usafirishaji mwili.

Lakini mambo hayakuwa mema baada ya kila mtu kusema kuwa amekana kutuma mchango wake.

"Mkiuliza mama yangu hata familia, watakwambia kuwa kila mara mtu atafariki, awe familia,jirani, rafikiki ama mfanyikazi wangu mchango wangu umekuwa

1.Jeneza

2.Nguo

3. usafirishaji mwili

Hamna ata siku moja hili limekuw shida kwangu, nimewafanyia watu kwa maana najua huu ndio mzigo mkubwa katika kila mazishi Mungu na familia yangu na watu niliowasaidia ni mashahidi wangu

Leo moyo wangu ni mzito kwa maana nimeambiwa kuwa nimesisitiza kumnunulia Lady  Maureen jeneza na nmekana kufanya jambo lolote lile

Hii ni kwa sababu wasanii wale wengine wanatuma mchngo wao." Akothee Alieleza.

Lady Maureen alifariki Jumamosi iliyopita na atazikwa nyumbani kwa wazazi wake Migori Ijumaa wiki hii.

ON THE 11TH, I CALLED LADY MAUREEN’S MOM AND ASKED WHAT SHE NEEDS AND IF ANYONE HAS COME ON BOARD FOR THE BURIAL ARRANGEMENTS 🙏🏾 SHE SAID NOBODY HAS SHOWED UP, I HAVE JUST SEEN YOUR MOM, AND A LADY FROM KISUMU, I THEN ASKED HER, HOW ABOUT ANY CONTRIBUTION, SHE SAID NOTHING UP UNTIL NOW,WELL, I TOLD HER WELL, I WILL TAKE

1. COFFIN

2.HERSE

3.LAST RESPECT CLOTHS

I WILL SEND MY MOM TO COME MEET HER IN MIGORI AND CHOOSE A COFFIN OF HER CHOICE THEN MY MOM WILL PAY FOR IT, AS BURIAL IS FRIDAY 🙏🏾,

I HAD ORDERED HER DRESS FROM, WHICH WAS READY AND SHOULD BE SENT BY TODAY 🙏🏾

MY MOM ARRIVED IN MIGORI, WHERE I HAD SENT HER TO GO CHOOSE SEATS OF HER CHOICE, SINCE THE ONCE I BOUGHT HER IS ABOUT 4 YEARS NOW, AND SINCE I AM CHANGING MY OWN, MY MOM SHOULD ALSO.MY MOM THEN CALLS ME AND SAYS

( JOGI NIGI COFFINS MABEYO BENDE SANAA, BUT MIN MAUREEN TUO , SHOULD I SEND YOU SOME PHOTOS YOU CHOOSE ?) I SAID NO ,DONT SEND ME, SINCE MY GRANDFATHER PASSED ON, I NEVER WANT TO SEE A COFFIN, JUST CALL MIN MAUREEN TO COME CHOOSE A COFFIN THAT SUITS HER DAUGHTER🙏🏾. MY MOM THEN TOOK MY DAD FOR LUNCH, AS SHE WAS WAITING FOR LADY MAUREEN’S FAMILY TO GET BACK TO HER. THAT IS WHEN JALANG’O CALLED ME AND I RECEIVED THE NEWS OF BEING ACCUSED OF THE ABOVE 😭."