Akothee asimulia jinsi alivyowaomba wasanii kusambaza kazi yake na kukataa

Akothee
Akothee
Msanii Esther Akoth almaarufu Akothee anajulikana sana kwa umaarufu wake wa nyimbo zake. Alileleza jinzi alivyokuwa anawaomba watu mashuhuri na wasanii wenzake kueneza kazi yake ilhali walikataa.

Kulingana na Akothee, wengi waliona ombi lake lakini walikataa kumsaidia na kueneza kazi yake ya muziki.

“I remember the days when I had 3000 followers 🤣🤣I saw enough shit on this streets, I begged some celebrities with big following then, to help me post my work, and they refused🙆‍♂️🙆‍♂️, I dint die 💪,I kept pushing. Even now, there are some fake hypocrites, who still chat me on WhatsApp, they will comment on my wall, but never share my content."  Akothee Aliandika.

Ufichuzi wa akothee unakuja siku chache baada ya kufikisha wafuasi millioni mbili. Akothee alisema kuwa hawawezi msifu hadharani basi wasimsifu na heri aweke picha zake na kuwafurahisha mashabiki wake ambao huwa naye kila wakati.

"ow I have 2 million followers, Dont even talk to me , I better spend the time I waste chatting with you on WhatsApp, to post something for my fans, they are loyal 🙏🏾🙏🏾 If you cant support me in public , usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa in private 🙏🏾🙏🏾 One word for progressive growth 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 My loyal fans I ESTHER AKOTH KOKEYO. Mother of MANY says. THANK YOU VERY MUCH .🙏🏾🙏🏾🙏🏾."

Akothee alichukua fursa hiyo kuwashukuru mashabiki na wafuasi wake.