Akothee sasa awaomba wachezaji Taifa Stars wampe mimba

scsc
scsc
Mbwembwe kibao zimetokea baada ya Harambee Stars kuizamisha Taifa Stars ya Tanzania 3-2. Mastaa tofauti katika mitandao ya kijamii wamepata fursa ya kuonyesha mapenzi kwa timu zao. Akothee staa wa kike kutoka nchini hajaachwa nyuma katika mchakato mzima.

Soma hadithi nyingine:

Staa ya huyu wa kike kupitia mtandao maridhawa wa instagram sasa anadai kuwa anataka ujauzito kutoka kwa vijana hawa wa Tanzania. Akothee sasa ni mama wa watoto 5. Akipata mwingine kwa Taifa Stars sasa atafikisha idadi ya 6.

"I just want to hug all of you when you are back 🤣😂 come here or I come there sweetie 🙏💪💪 mungeshindwa wakenya wangehamia TZ 🤣😂😂😂🤣😂😂😂, Nawafahamu sana watu wangu , hutema watu wao wakishindwa , BRAVOOOOOO BRAVOOOOO , Congratulations TANZANIA ❤ MImi naja huko mnipe ka mimba hapa kenya imekataa ." alisema Akothee.

Tazama hapa:

https://www.instagram.com/p/BzPTog9oLVP/

Akothee sasa anatamba na kibao hatari cha Muje na kinafanya freshi kwenye mtandao wa Youtube na upigwaji mkubwa katika redio na runinga za kitaifa.

Pata hadithi nyingine humu:

Mastaa kibao hapa nchini na viongozi wametokea pia kuonyesha shavu kubwa kwa timu ya kitaifa akiwemo mheshimiwa Raila Odinga, William Ruto na King Kaka baadhi ya wengineo.

"What a splendid performance  coupled with great composure coming from behind twice to deservedly win the game. Bravo! Kenyans are firmly rooting for you. All the best as you continue striving to qualify for the  round of 16. Hongera." alisema Raila Odinga.