Jowie hata hivyo ana mengi ya kumsumbua fikra kwani atalazimika kuripoti kwa chifu kila mwezi huko Nakuru na sidhana atapata muida wa kuwaridhisha wote wanaomtaka kwa njia zao za kibinafsi .Jowie, ni mshukiwa mkuu katika mauaji ya mfanyibiashara Monica Kimani na amekuwa jela kwa mwaka mmoja unusu wakati rafiki na na jamaa zake wamekuwa wakichangisha fedha za kumwezesha kupata uhuru wake
Jana baadhi ya wanawake walifurika mitandao ‘kusherehekea’ kuachiliwa kwa Jowie na wengine walizidisha matamanio yao ..Tazama
Silverstain M Dan I hope you have known your friends now.
Kisozi Josh Joash Eeeee right from 2018 up to now?? Thank God
loycekones Si akuje tu anitoe hii dryspell ya one year
Komando Pop Cone Sweet Freedom bro, welcome back to the hustling Nation.
Lilian Njagi Wow.. finally Mr handsome is baaaaaack
Margaret Ngugi Welcome back cute criminal
jkamwana.w ❤️❤️❤️❤️💚come to me baiby😊❤😜😋
Sheila Makau Huh…such a cutie pie😘
Regina Mwangi Still cute welcome back to free world
Wanjau Liz But why is he this cute🤔😊
Musyoka David And a Nairobi slay queen will date him. They don’t care
theefree_faller Beast back on street #WaponeSasa.🤙
hassanoh_says leo maribe ako na siku mrefu😅
tamar_reborn Apewe arimis kwa bill yangu 😌
_khankenya For me am glad, this guy deserves an 18 year old matured whisky.. Kesi badae literally
stella_5589 Happy for you Jowie
litmus_on_the_beat saa ataenda wapi. nani atampea kazi
ndihospartah Ile kutu ii ninja ako nayo.
desmond_odipo 😂😂😂Jacque Maribe akae ritho doshi imerudi
just_arabellarey yaaay 🙌 @jowie.jowi welcome back bro
makuba_her I hope he has learned his lesson…. friends
obiero_diana Ameiva maan😂😂