‘Alikuwa akiweka Pilipili au robb kwa chuma ndio tufanye mapenzi’ Mwanamke asimulia tabia za Ex-boyfriend

woman panty
woman panty
Kuna vituko huku nje na vingine  vinatisha!

Mwanamke mmoja ametumia mitandao ya kijamii kueleza baadhi ya mambo ya kustaajabisha ambayo mpenzi wake wa zamani alikuwa akifanya kabla ya wao kushiriki mapenzi. Mwanamke huyo aliyejitambulisha kama @Realnancy  anasema alikuwa akikubali kuendelea na uhusiano huo licha ya mambo mengine ya kushangaza aliokuwa akifanya mpenzi wake kwa sababu alikuwa akimpenda sana

‘ This weirdo had some funny and scary Fettishes, Imagine alikuwa akiweka pilipili kwa  mjulus yake ndio ati s*x iwe tamu- Nikifirikia that I went along with it  haki najichuna’ Nancy ameposti

Wanawake wenzake waliokuwa wakichangia chini ya posti yake walishangazwa sana na ufichuzi huo huku wengine pia wakieleza baadhi ya vitu vya kijinga walivyofanya wakiwa na wapenzi wao kwa sababu ya kuwapenda. Nancy aliongeza kueleza kwamba mpenzi wake huyo aliyemtambua kama Shawn alikuwa na tabia ya kupaka uume wake vitu vikali kabla ya kushiriki  mapenzi naye. Nancy anasema wakati mwingine baadhi ya vitu hivyo vilimuacha na majeraha na hata kumchubua ngozi lakini Shawn alionekana kutojali.

 ‘Kuna time aliamua kujipaka Robb  coz nilimuambia stori za pilipili sitaki, aki niliashwa hadi nikakimbia kwa bafu kujimwagia maji baridi …it was so painful !’ ameandika  Nancy

Huku akisimulia masaibu yake kwa ucheshi, Nancy aliwashauri wanawake kuwa na mipaka kuhusu mambo wanayofanya kwa sababu ya wanaume.  Ameandika;

‘Girls, lets have standards and principles. Usifanyie mwanamume vitu za ajabu ati kwa sababu unampenda. Hizi streets ni wewe kujilinda. Love yourselves more’

Ni kipi ulichomfanyiwa mpenzi wako ambacho baadaye ulijicheka?

MHARIRI: DAVIS OJIAMBO