Aliyechepuka na mchumba wa Avril atemwa na staa wa soka Adebayor

A3CF4A5C-F06C-4337-950D-9472A2B38BF9
A3CF4A5C-F06C-4337-950D-9472A2B38BF9
Staa wa soka Emmanuel Adebayor anaonyesha dalili zote za kumtema mpenzi wake Dillish.

Wawili hawa wamefuta picha zao za pamoja Insta ishara ya kuwa penzi limeingia mchanga.

Mpenzi wake Adebayor anadaiwa kuchepuka na mchumba wa Avril siku za hapo nyuma.

Haijaweza kubainika kisa kilichotokea ili kusababisha kutoelewana.

Emmanuel Adebayor ambaye ni raia wa Togo alikuwa mchezaji wa klabu cha Arsenal.

Adebayor na Dillish wamekuwa katika mahusiano fiche kwa muda mrefu.

Kinachoonyesha kuwa wawili hawa wametemana kabisa ni kuwa katika akaunti zao Insta, hakuna mmoja ame-follow mwenzake.

https://www.instagram.com/p/B4ZMj_nnB8P/

Ubuyu upo kwamba Dillish Mathews alichangia kukata stima za ushikaji kati ya msanii Avril na mchumba wake Muga.

Inadaiwa kuwa Muga alizubaishwa zaidi na penzi lake Dillish kiasi cha kutemana na staa huyu wa muziki nchini.

https://www.instagram.com/p/B4r2fX3AGHr/

Dillish baadaye alikana taarifa na kutoka kimapenzi na Muga na kusema ulikuwa ushikaji wa kawaida tu.