"Amekula matofali mbili na mimba ikona mwezi mmoja"- Mulamwah

Mchekeshaji chipukizi Mulamwah amechapisha kipande cha video katika mtandao wake wa kijamii wa insta. Katika video hii fupi, rafiki wa karibu wa kiume anasikika akimuuliza mcheshi huyu kuhusu mwanamke aliye na ujauzito katika ploti wanaoishi.

Soma hapa:

Mulamwah anaelezea jinsi bibi ya "Krisandos" anavyokula mchanga baada ya kupata ujauzito.

Tazama hapa:

https://www.instagram.com/p/ByvHPDvhFnu/

Mcheshi Mulamwah ni kati ya waigizaji kwa sasa wanaofanya vizuri katika sanaa hii katika mitandao ya kijamii. Ongezeko la wachekeshaji hapa nchini limeshuhudiwa mwanzoni mwa mwaka huu. Vijana chipukizi wanajituma kupitia kwa vipaji vyao kupata hela za kujisetiri.

Soma hadithi nyingine: