Ameumbwa akaumbika! Tazama picha zake Majesty Bahati

Hayawi hayawi huwa.. Bahati ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za injili na mkewe Diana Marua, waliamua kuonyesha wazi wazi picha za mtoto wao wa pili Majesty kwani, mtoto huyo ameumbwa akaumbika.

Mtoyo huyu alizaliwa wiki chache zilizopita, na ameonekana kufanana na dada yake, Heaven Bahati. Katika mtandao wa Instagram, Bahati ambaye ndiye baba ya mtoto Majesty aslilisisitiza uzuri wa mtoto wao na kuandika,

''I Wish My Fans & Friends Can See Your Handsome Faaaceee 💙  👑 Posting His Photo Soon Follow ''

https://www.instagram.com/p/B1QvjF-FTWf/?utm_source=ig_embed

Hizi ni baadhi ya picha za mtoto huyu mzuurii!!

Wakenya nao, walifurahishwa sana na maumbile ya mtoto huyu na baadhi ya ujumbe walioandika ni yafuatayo.

lucynyambura He came straight from heaven so adorable ❤️❤️❤️

fuindcu He is his big sister’s look alike.

ronniechirchir Umenishinda kwa Likes babaa… Yenyewe celebrity womb iko na status yake😂😂

delma_jess Beautiful baby boy

donnaholland He is sooo cute 💥🌈😌he is totally heavens twin brother ✨

suzzie Such a handsome boy na amegrow sana ❤

derrickson Waah wah what a picture.