Angalia anachouza Vera Sidika ili kupata mamilioni ya pesa

Hakuna asiyemjua mrembo Vera Sidika na iwapo hukujua talanta zake basi fahamu kwamba ameukuwa akificha usijue anavyopata hela .

Vera ni mchoraji, sanaa ambayo anasema   imempa biashara  na pia kumpa fursa ya kujitengezea pesa .

Kando na biashara zake nyingine yeye hutumia muda wake wa ziada kutengeza michoro hiyo –baada ya kulipwa na anaweza kuchora chochote anachotaka mteja wake .

Huku kila mtu akitakiwa kusalia nyumbani Vera sasa anasema amepata muda mwingi wa kuweza kufanya michoro yake ..

Akizungumza na Magzter, Vera  ameeleza jinsi anavyopenda sanaa

 “I GREW UP KNOWING THAT I LOVE ART. FROM THE FIRST

TIME I HELD A PENCIL, I STARTED DRAWING. I LOVE

PAINTINGS (OIL AND CANVAS) AND DO A LOT OF STILL LIFE,

IMAGINATION, LANDSCAPING AND ABSTRACT ART. I HAVE

NUMEROUS TROPHIES COURTESY OF MY HIGH SCHOOL,

STAR OF THE SEA, IN MOMBASA.”

Vera amekuwa akitengeza pesa  kupitia sanaa hiyo  na wakati mmoja  alifichua kwamba aliuza mchoro wake kwa  bwenyenye mmoja wa Nigeria kwa mamilioni ya pesa