Apata wa kumpa ''lungula'' msimu huu wa Corona ,Corazon Kwamboka na Frankie Kiarie waibua hisia

72337315_580819902657274_5157811287439616772_n (1)
72337315_580819902657274_5157811287439616772_n (1)
NA NICKSON TOSI

Mwanasosholaiti Corazon Kwamboka amewacha wengi vinywa wazi baada ya kuweka picha katika mtandao wake wa kijamii akiwa na mpenzi wa zamani wa Maureen Waititu ,Frankie Kiarie.

Kwamboka ambaye bonge la fika yake huwaacha wengi vinywa wazi,alionekana na Frankie wakijistarehesha wawili swala ambalo liliwafanya wengi kudai kuwa labda walikuwa wameamua kuwa wapenzi.

Katika video hiyo hapo juu ,Frankie anaonekana akitamani ashakum si matusi makalio ya Kwamboka ,kiashiria labda jamaa huyo alikuwa amependezwa na jinsi mwanamke huyo alivyojaaliwa kiuno kikubwa.

Hapa ni baadhi ya semi za wale waliona picha hiyo.

_instasleyjana Ndio umeamua kuniumiza 🙄

shelmie_muliro Wuuueh

louise77955 Imagine the food…🍑

lilyanne.lynn Weeuhhhhhhh kwamboka!!!!🔥🔥❤️❤️❤️❤️