Ashakum si matusi. Punguza makalio ongeza sauti! Mashabiki wamwambia Vera

NA NICKSON TOSI

Baada ya kutupilia mbali pendekezo la baadhi ya wakenya kuwa awekwe chini ya karantini baada ya kukiuka agizo la serikali, mara hii tena mwanasosholaiti Vera Sidika amejikuta katika njia panda na mashabiki wake kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuwaahidi mashabiki wake kuwa ange kwenye Instagram kwa sababu ya video aliyokuwa anataka kuwaonyesha.

Wakiwa na hamu na hamumu ya kuione video, waliambulia patubu kwani sauti ya kichuna huyo haikuwa inasikika kamwe na hata ubora wa video yenyewe ikawa mbovu, hatua iliyowafanya mashabiki kumuingilia na hata wengine kumuambiua kuwa apunguze sehemu ya makalio na kuongeza sauti.

Kutokana na madhila hayo aliyokuwa ameyapitia mikononi mwa mashabiki wake, mrembo huyo alienda kwenye mitandao yake ya kijamii na kuomba msamaha kwa jambo hilo.

Waliovuma enzi hizo na kuachia akina Vera Sidika na Huddah Monroe ambao hawatupi nafasi ya kupumua hata

Huu hapa ni ujumbe wake japo tumeutoa kwa lugha ya Kiingereza.

“More than 42,000 views in 10 minutes. WOW. I appreciate y’all for tuning in tonight even though my IG live crashed & the show didn’t happen 😩😭 I’m so pis*ed. I had my big Booty girls set aside for tonight & due to overwhelming requests & comments couldn’t get them to come in 😭😩 Show didn’t happen but I’ll fix this soon I promise 🥰 Apologies for any inconveniences caused. Love y’all ❤️💦🍑” aliandika Vera

Hapa ni jumbe za mashabiki wa Vera. Soma

Nani awekwe kwenye Karantini? Vera asema baada ya kujivinjari na wenzake mida ya saa 1 za Usiku

Majibu ya wakenya yaweza kuwa na msongo wa mawazo