liondeh8

AUDIO: Mimi Ni Bikira Na Chali Yangu Ananinyima Tendo La Ndoa

Kwa kweli dunia ina mambo, na pindi unapozidi kuskiza vipindi vya Radio Jambo kuanzia mida ya asubuhi hadi usiku ndipo unapozidi kuelewa kuwa mambo unayoyaskia humo nje sio dhana wala ni mambo yanayotokea kila uchao.

Basi mara ya mwisho kuskia mwanadada bikira akilalamika kukosa au kunyimwa tendo la ndoa ni lini? Naamini jambo hili ni nadra sana.

PATANISHO: “Mke Wangu Hatosheki Kimapenzi Wallahi, Damu Yake moto sana”

Siku ya Ijumaa katika kipindi ukipendacho cha muziki wa Reggae, Mbusii na Liona Teketeke, haya yalibainika wakti mwanadada mmoja kwa jina Joy alipopiga simu akilalamikia mpenzi wake kwa jina John anamnyima tendo la ndoa kwa mwaka mmoja.

Joy mwenye umri wa miaka 23, anamlaumu John kuwa hulalamika kuwa hana mda wa kutosha na isitoshe Joy ni Bikira.

“Hanipatii kwa mwaka mmoja, Mimi hutaka kumuanikia yeye pekee yake lakini yeye hujifanya yuko busy.. ati job. ” Alijieleza Joy kutoka mtaa wa Kangemi.

PATANISHO: Mombasa Raha Yawakosanisha Ken Na Mkewe Betty

Pata uhondo kamili.

 

Photo Credits: victor TKO imboto

Read More:

Comments

comments