AUDIO: Mwanadada Atandika Shemeji Yake Kwa Kumnyima Chai Budalangi

Kwa kweli damu ni nzito kuliko maji lakini ifikapo ni wakti wa mlo au kinywaji, basi damu huchemka na hapo rabsha kuzuka.

Haya yalibainika hivi maajuzi katika kaunti ya Busia, eneo bunge la Budalangi ambapo mwanadada alimpiga shemejiwe kichapo cha mbwa, kisa na maana? Alimnyima kikombe cha chai. Do!

Akisimulia kisa hicho, mtangazaji wa Radio Jambo Jacob Ghost Mulee alisema kuwa mwanadada huyo alisafiri kwenda kumtembelea nduguye. Baada ya safari ndefu alimkosa nduguye na aliyempata ni bibi ya nduguye.

"Baada ya kuketi pale kwa mda wa lisali moja, mwanadada yule akauliza "Yaani hapa hata wageni kupewa maji ya kunywa hakuna? Haiwezekani bwana, Naja kwako hata maji ya kunywa Mwanadada alimchapa kofi kwa hasira akidai kuwa mila na desturi hazimruhusu kuanya vile. "

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be