AUDIO: Vyama vya kisiasa ni kama hoteli! - Odhiambo

Kwa mda wa wiki kadhaa sasa, magavana humu nchini wamejitosa katika chemichemi za siasa za mwaka wa 2017 mwaka wa uchaguzi mkuu nchini, kwa kuunda vyama vipya vya kisiasa.

Akizungumzia swala hili, Gidi alishangazwa na mwenendo huu, baada ya gavana wa Machakos Alfred Mutua ambaye aliunda chama cha maendeleo chap chap, Gavana wa Bomet Isaac Rutto naye akaunda cha "Mashinani development party' huku ikidaiwa kuwa gavana wa Meru Peter Munya, pia ako katika harakati za kuunda chama chake kipya.

Huku wakenya wakitoa hisia zao tofauti kulingana na vyama hivi, Odhiambo ambaye ni msikilizaji kutoka Karatina alifananisha vyama hivi na hoteli akidai kuwa wanasiasa huingia wakitoka jinsi wanavyo hisi.

Skiza kanda hii ya bwana Odhiambo:

&feature=youtu.be