Author: Abel Omasete

Bio:

Latests Posts By Abel Omasete

unnamed

Mirengo ya Kieleweke na Tanga tanga yakutana Sagana

Rais Uhuru Kenyatta hii leo alikutana na viongozi kutoka mlima Kenya katika kaunti ya Kirinyaga kule Sagana. Huu ni mkutano wa pili Rais Kenyatta ameandaa na viongozi hao wa mlima...
rais

Jitihada za Rais Kenyatta kumaliza FGM yapongezwa na makamu wa Rais wa Liberia

Makamu wa Rais wa nchi ya Liberia Jewel Taylor amempongeza Rais Uhuru Kenyatta kwa kuendesha kampeni ya kumaliza ukeketaji wa wanawake nchini Kenya. Taylor amempongeza Uhuru kwa kuwahamasisha viongozi pamoja...
ict

Serikali kutumia milioni 350 kwa mafunzo, A-Z yaelezwa

Serikali imetangaza mipango ya kuwekeza zaidi ya shilingi milioni 350 katika mpango wa ukuzaji wa stadi kwa maafisa wa mawasiliano ya umma na habari. Joe Mucheru ambaye ni waziri wa...
bru

Utumishi ama ukatili? baadhi ya wanafunzi waliodaiwa kuuawa mikononi mwa polisi

Maafisa wa polisi ni watu ambao wamepitia mafunzo na baadaye kupewa majukumu ya kuhakikisha kuwa wanainchi wanapata usalama wa kutosha. Lakini kinaya kilionekana hivi maajuzi baada ya video iliowanasa polisi...
skool

KNEC: kemikali zilizotumika katika mitihani ya KCSE haina sumu

Serikali imekataa ripoti kwamba kemikali zilizotumiwa wakati wa mtihani wa KCSE wiki iliyopita zilikuwa na sumu. Baraza la kusimamia mitihani nchini KNEC wamesema kuwa kemikali xylene, bromine, na calcium hypochloride...
abdi

Malumbano yashuhudiwa katika bunge la kaunti ya Nairobi: Rais kenyatta ahimizwa kuingilia kati

Wajumbe katika kaunti ya Nairobi wanamtaka Rais Uhuru Kenyatta kuingilia kati na kusitisha malumbano miongoni mwa wa wakilishi kutoka mrengo wa Jubilee. Malumbano yalishuhudiwa katika mkutano uliofanyika siku ya jumatatu...
livcity

Ligi ya Uingereza: ushindani wa kumaliza katika nne bora

Ligi ya Uingereza itakuwa inachezwa wikendi hii huku klabu mbali mbali zikiwa na matarajio ya kumaliza katika orodha ya nne bora katika msimu huu wa mwaka 2019/2020. Vijana wake Pep...
mariga-kibra

Orodha ya wagombea wa viti mbalimbali ambao hawakujipigia kura wakati wa uchaguzi

Hawa ni baadhi ya watu ama  viongozi ambao walijitosa uwanjani kugombea katika viti mbali mbali humu nchini katika uchaguzi, na hawakuweza kujipigia kura katika eneo hilo ambalo walikuwa wanagombea, kisa...
man u

Ligi ya mabingwa Uropa: Man United watashinda?

Klabu mbali mbali kutoka bara Uropa zinatarajiwa kuchuana leo usiku huku wakufunzi wakiwa na imani kuwa wachezaji wao wataweza kuandikisha ushindi ili waweze kufuzu katika ngazi utakaofuata. Man United vs...
uefa

Ubashiri wa ligi ya mabingwa Ulaya

Raundi ya nne ya ligi ya mabingwa Ulaya utasakatwa leo usiku huku klabu mbali mbali zikitarajia kuandikisha ushindi ili wafuzu katika mkondo utakaofuata. Chelsea vs Ajax Vijana wake Frank Lampard...