Author: Abraham Kivuva

Bio:

Latests Posts By Abraham Kivuva

gabu.bugubugu

Gabu amsifia msanii Diamond Platnumz

Msanii mkubwa Afrika mashariki Gabu almaarufu kama Bugubugu alipata nafasi na kufika kwenye kikao cha Papa Na Mastaa kinachoruka kupitia mtandao wa youtube wa Redio Jambo. Kikao hiki huongozwa na mtangazaji...
gor-8

Gidi amkosoa rapa Khaligraph Jones

Rapa mkubwa Afrika mashariki Khaligraph Jones almaarufu kama Papa Jones ni kati ya wasanii wanaofanya muziki wa kuchana hapa nchini. Mkali huyu wa nyimbo inayofanya vyema katika mitandao na katika...
mbusii

“Simama wakuone kijana mfupi round” – Mbusii amuita Uche

Katika shoo ya Papa Na Mastaa, Mbusi alifunguka kuhusu anavyofanya kazi na deejay wake Uche Adi Rasta. Uche ni kati ya madeejay wanaofanya na mtangazaji huyu katika shoo ya Mbusi...
Mbusii Deh

“Nikiingia Mombasani nione Fatuma sitambania” – Mbusii

Katika kikao cha Papa Na Mastaa wiki hii ilikuwa zamu ya mtangazaji Mbusii kufika na kujumuika katika shoo yake Rais Papa inayoruka kupitia mtandao wa Youtube wa Radio Jambo. Papa hutumia fursa...
74c3YTe8PYKing-Kaka-has-been-Named-UNICEF-Ambassador-1024x768-1024x768

King Kaka afunguka kuhusu kufanya collabo na mzazi mwenzake Sage

Msanii na rapa mkubwa Afrika mashariki King Kaka amefunguka sana kuhusu kufanya muziki na aliyekuwa mpenzi wake Sage. Katika mahojiano na mtangazaji Rais Papa katika kipindi kinachoruka katika mtandao wa...
IMG_3699

Hali ya umaskini yasababishia Ashley na Joyce kujitosa katika ukahaba

Katika kipindi cha Bustani La Massawe kitengo cha Ilikuaje, wageni katika studio walikuwa wawili Ashley na Joyce ambao wamekuwa katika uraibu wa ukahaba kwa muda mrefu. Wawili hawa wana sababu zao...
amaninamassawe

Msanii Amani anavyotofautiana na mmewe

Mtindo upo nchini wa wasanii wa nyimbo za kidunia kubadilika ghafla na kuanza kuimba nyimbo za injili na kuokoka. Wasanii kama Size 8, Kush Tracey, Lady B, Collo, Wahu ni katika...
unnamed (1)

Chifu akabiliwa na mashtaka ya kuiba mbwa wa askofu Nyeri

Chifu Paul Gachiri Wageni, 55, alifikishwa mbele ya mahamaka ya Othaya jana kwa shutuma za wizi wa mbwa wawili wa mhubiri Thomas Wahome wa kanisa la Helicopter hapa jijini Nairobi....
aaaaaaaaaa

Patanisho: Abdul-Nakuhakikishia kwamba hakuna siku nitakuplay

Abdul alituma ujumbe  katika kituo cha utangazaji cha  Redio Jambo katika kipindi cha Patanisho ili asaidiwe kupatana na mkewe Maureen. Ndoa yao ya mwaka mmoja ilitatizika wiki iliyopita jumanne. Maureen...
KIMRAID0304D

Aiaga dunia baada ya kunywa lita 5 za chang’aa

Mashindano huwa ni kitu kizuri maishani. Jamaa, ndugu na marafiki wanaposhiriki katika mashindano huwa ni wakati mzuri wa kujistarehesha na huwa ni fursa ya kutangamana. Kisa kimetokea jumapili iliyopita katika...