Author: Albanus Kiswili

Bio:

Latests Posts By Albanus Kiswili

hj

Mastaa watano ambao wamecheza na Messi na Ronaldo kwa pamoja

Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wanapendwa kote duniani na mashabiki wa soka pamoja na wachezaji wenyewe. Kila mchezaji anandoto ya kusakata kambubu klabu moja ama timu moja na wawili hawa....
jua cali

Kisengere Mbele; Mastaa watakavyokuwa maisha ya uzeeni

Mastaa wa muziki hapa nchini kenya wamejiunga na ulimwengu kufurahia picha zao za uzeeni. kwenye mitandao ya twitter, mastaa hao wakiongozwa na Juacali pamoja na king kaka wameweka picha zao...
mary-kilobi-7

Mkewe Atwoli asherehekea siku ya kuzaliwa

Mke wa nne wake katibu wa COTU Francis Atwoli, Mary Kilobi alisherehekea siku yake ya  kuzaliwa hio jana. Mwanahabari huyo wa runinga ya KTN alifunga pingu za Maisha na bwana...
Waihiga-Mwaura

Waihiga Mwaura atoa ushahidi kuhusu matukio ya Olimpiki

Wahiga Mwaura amedhibitisha kuwa mwaka wa 2016 kwenye mashindano ya olimpiki, kulikuwa na ufisadi ulitekelezwa na maafisa wasimamizi wa ‘Team Kenya’. Wahiga Mwaura ni mwanahabari wa michezo ndani ya runinga...
Wanyama.Victor

Wanyama na Mariga wazungumza kuhusu ndoa zao

Victor Wanyama na kakaye mkubwa MacDonald Mariga ni baadhi ya wakenya wanaotamaniwa sawa na mabinti humu nchini kutokana na pesa yakishua wanayoingiza maishani mwao. Wakizungumza kwenye kipindi cha runinga ya...
mechi za kirafiki

Mechi saba za kirafiki za kusisimua na kutetemesha ulimwengu

Baada ya msimu kukamilika, timu zote ziliwapa likizo wachezaji wao na sasa likizo zimekamilika huku kukiwa na mechi kadhaa za kirafiki za kukata na shoka msimu huu wa maandalizi ya...
Zari admires Sonko

Zari asimuluia jinsi gavana Mike Sonko anavyo msisimua

Aliyekuwa mpenziwe Diamond Platinumz, Zari Hassan, amesema kuwa yuamtamani gavana na Nairobi Mike Sonko na angependa sana kupatana naye kabla ya mwaka kuisha. Akizungumza na kituo kimoja cha habari nchini...
erick omondi

Msanii Eric Omondi asimulia alivyopatana na Churchill

Mvunja mbavu mkenya Eric Omondi ameyakumbuka maisha yake ya mwanzoni kabla ya kujiunga na kipindi cha Churchill. Eric Omondi aliwashangaza wengi baada ya kurejea kwenye show hio baada ya kupotea...
Gor.Mahia

Gor mahia kukabiliana na Green Eagles kwenye Robo fainali

Mabingwa wa ligi kuu nchini Kenya Gor mahia watashuka dimbani hio kesho kuchuana na Green Eagles ya Zambia kuwania tiketi ya kucheza nusu fainali za Kagame cup kule nchini Rwanda....
maurizio sarri

Mkufunzi Sarri alitusaliti: Napoli yalia kuhusu Juventus

Mshambulizi wa Napoli Lorenzo Insigne amesema kuwa aliyekuwa mkufunzi wa timu hiyo maurizio sarri alisaliti klabu ya Napoli kwa kukubali kujiunga na klabu ya Juventus. Sarri alikuwa mkufunzi wa Napoli...