Author: Belinda Momanyi

Bio:

Latests Posts By Belinda Momanyi

Vita dhidi ya Unyanyapaa! Wakenya jasiri waliokiri kuishi na Virusi vya Ukimwi

Ukwimwi ni moja wapo ya magonjwa ambayo yana tisha ulimwenguni na yafaa kutangazwa kama mojawapo ya janga ulimwenguni. Watu wengi sana wana aga dunia kila siku kutokana na ugojwa huu....

Mwanahabari mahakamani dhidi ya mauaji katika klabu ya Umoja

Mtangazaji mmoja wa televisheni aliyeshukiwa kumshambulia mwanaume mmoja na kusababisha kifo chake anachunguzwa. Antony Nyongesa Namasaka wa televisheni ya Nyota alifikishwa mbele ya mahakama moja huko Madaraka pamoja na mhusika...

Chiki anapanga harusi yetu, Bien wa Sauti Sol asema

Bien, mwanamziki wa kundi la Sauti Sol anatarijia kufunga ndoa na mchumba wake Chiki mwaka huu. Akiongea na Word Is Ijumaa, alisema, ”Harusi itakuwa lakini kuhusu maendeleo yake, nimemwacha mchumba...

Sina Mpango wa Kando! Tanasha Donna awaambia mashabiki

Miezi kadhaa zilizopita, Diamond Platinumz na mpenzi wake wa Kenya Tanasha Donna walikuwa hawatenganishwi. Ila mambo sivyo siku hizi kwani wawili hawa wanaonekana kuchapa kazi sana hivyo kukosa wakati wa...

Hatutakuacha Hai! Seneta Anwar asimulia mashambulizi ya mchumba wake Saumu

Seneta wa Lamu Anwar Loitiptip amepata afueni baada ya kupitisha masaa kadhaa kwenye chumba cha wagonjwa hali mahututi, baada ya kushambuliwa eneo moja la burudani Kasarani. Anwar alikuwa pamoja na...

Saumu Ameona! Patana na Bibi Mrembo wa Seneta wa Lamu Anwar Loitiptip

Seneta wa Lamu, Anwar Loitiptip aliwaacha wengi vinywa wazi baada ya kumtambulisha Saumu Mbuvi (mtoto wa Mike Sonko) kama ‘mchumba wake’. Akiongelesha vyombo vya habari kutoka hospitali ya Aga Khan...
Robert Burale

‘Unaweza enda Koinange kuuza mwili wako?’ Burale aongelea kuhusu ‘Sponsors’

Shinikizo la kudumu maisha ya kutamanika kwenye mtandao wa Instagram unazidi. Hali hii imewafanya vijana wengi haswa wanawake kuwa na mahusiano na wanaume wazee ambao wanagharamia mahitaji yao. Wanaishi ni...

Hatimaye Anerlisa Muigai Apatana na Mtoto wa Ben Pol (Picha)

Ben Pol, mwanamziki maarufu wa nyimbo za bongo, ana mtoto wa miaka tano. Pol amezaa na Latifah Mohammed, aliyekuwa malkia wa urembo Tanzania mwaka wa elfu mbili kumi na tatu....

Mwimbaji Mashuhuri Wahu Akana Tetesi za Ujauzito

Tangia mwanzo wa mwaka huu, mwimbaji wa nyimbo za injili Wahu, amedhaniwa kuwa mjamzito. Tangu tetesi hizo zienee, angetarajiwa kwa sasa kuwa mjamzito sana na tumbo la uzazi kuonekana, lakini...

Mwanaume ashikwa kwa kumbaka mama mzazi

Mwanaume mmoja atarajiwa kuenda mbele ya mahakama baada ya kudaiwa kumbaka mama mzazi. Mama huyu alikuwa akielekea nyumbani pekee yake baada ya kutoka kwenye baa. Mshukiwa huyu alikamatwa Jumamosi baada...