Author: Bernard Kigen

Bio:

Latests Posts By Bernard Kigen

mARIGA IN KIBRA-compressed

Uhuru: Sikudhani uchaguzi wa Kibra ungekuwa wa amani

Rais Uhuru Kenyatta kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu kushindwa kwa Jubilee katika uchaguzi mdogo wa Kibra. Jubilee ilikuwa inampigia upato  McDonald Mariga katika uchaguzi huo uliowavutia wagombeaji 24. Hata...
crime-scene-300x225

Watu sita wauawa na umati katika kaunti ya Busia

Watu sita Ijumaa walipigwa hadi kufa na umati uliokuwa na ghadhabu katika kaunti ya Busia. Sita hao hawakutambuliwa na wenyeji mara moja na wanasemekana  kukodiwa na mwanamke mmoja mfanyabiashara ili kuchukua...
Osotsi na Malala

Seneta Cleophas Malala atimuliwa chamani ANC

Chama cha  Amani National Congress kimefuta jina la Seneta wa Kakamega kutoka sajili. Kamati ya nidhamu ya ANC ilifikia uamuzi huu Jumatano baada ya kufanya mkutano. Taarifa kutoka kamati hiyo...
Lupita Nyong'o and Noah Trevor

Orodha ya mishahara ya waigizaji 10 bora ulimwenguni – Forbes

Mwendesha kipindi na mwigizaji kutoka Afrika Kusini Trevor Noah ni miongoni mwa waigizaji 10 bora wanaolipwa kitita kikubwa cha pesa duniani kulingana na jarida la Forbes. Nyota huyo mwenye umri...
kibaki

Rais Mstaafu Mwai Kibaki aadhimisha miaka 88 ya kuzaliwa

Rais Mstaafu Mwai Kibaki anaadhimisha miaka 88 ya kuzaliwa kwake hii leo. Kibaki ambaye alikuwa rais wa tatu katika taifa hili anakumbukwa sana kwa uongozi wake ulioinua uchumi wa taifa...
Heroine

‘Dosi yangu ya heroini kila asubuhi hugharimu shilingi 400’ – Lisa

“Maumivu ya kuacha ni kama mwanamke mwenye hedhi kali au gesi ikiambatana na kudungwa visu tumboni.’ Hayo ndiyo masaibu yanayomkumba kila uchao Lisa Marete mwenye uraibu wa mihadarati ya heroini...
Peris Nyutu

Kidosho milionea wa miaka 28, ni miongoni mwa walioidhinishwa kuhudumu NCIC

Mrembo mwenye mihela si haba ukipenda milionea akiwa tu na umri wa miaka 28 ni miongoni mwa watu walioidhinishwa na bunge kuhudumu katika tume ya uwiano na maridhiano NCIC. Peris...
Paul Manyasi alias Cedric Shivanje

Upekuzi: Paul Manyasi aliyedondoka kwenye KQ na Cedric Shiunja ni mmoja

Kisa cha mwanaume aliyedondoka katika ndege ya KQ Julai kimekuwa cha kukanganya sana hususan baada ya familia inayokisiwa kuwa ya jamaa huyo kukana madai hayo huku wakisema mwanao ni Cedric...
Junet, Raila, Mutua, Okoth-compressed

Ni mwisho wa Nasa, Raila Odinga awinda marafiki wapya

Muungano mpya unaandaliwa huku chama cha ODM kikitengana na vyama tanzu vya awali vilivyounda NASA. Kinara wa chama cha ODM anatumia maafikio ya uchaguzi mdogo wa Kibra kusanifisha siasa zake...
Uhuru na Raila

Kwa nini ripoti ya BBI imecheleweshwa kukabidhiwa Uhuru na Raila?

Shajara ya rais Uhuru Kenyatta juma hili inaonesha kwamba shughuli chungu nzima imeratibiwa na nafasi ya kukabidhiwa ripoti ya BBI ni finyu. Kumekuwa na wingu la matarajio kwamba rais pamoja...