Author: Charity Chigulu

Bio:

Latests Posts By Charity Chigulu

murder-png

Mshukiwa Wa Mauji Ajisalimisha kwa polisi Baada Ya Kujificha Kwa Miezi 2

Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka arobaini anayetuhumiwa kumuua nduguye mwezi wa tano mwaka huu amejisalimisha kwa maafisa wa polisi wa Busia. OCPD  Masai Makau amesema mshukiwa  Samuel Wabwire amekuwa...
stolen-guns

Unyama ulioje? Mfanyibiashara auliwa na wanawe wawili kubakwa Bungoma

Mfanyibiashara maarufu wa soko la Chebukwabi  eneo bunge la Kimilili kaunti ya Bungoma ameuliwa kwa kupigwa risasi  na majambazi sugu huku mwanawe mmoja wa kiume pamoja na bintize wawili wakiuguza...
ranguma

IEBC Yamchunguza Gavana Ranguma Kwa Madai ya Kutumia Nembo Za ODM

Tume Huru ya IEBC imeanzisha uchunguzi dhidi ya gavana wa Kisumu Jack Ranguma, kufuatia madai ya kutumia rangi za chama cha ODM na Muungano wa National Super Alliance – NASA...
bethwell kiplagat

Hamna Kupiga Picha Wala Kuchukua Video Wakati Wa Ibada Ya Wafu Ya Balozi Bethwel Kiplagat

Ibada ya wafu wa aliyekua mwenyekiti wa tume ya TJRC balozi Bethuel Kiplagat inafanyika leo katika kanisa la St Marks mtaani Westlands kuanzia saa nne. Hata hivyo jamii yake imetaka...
images (5)

Wataka Kuoa? Mke Ni Gharama. Jipange

Vijana wengi walio katika umri wa kuoa siku hizi watakwambia bado wanasubiri kwanza kwa sababu wanawake wamekua na mahitaji mengi. Hata hivyo mtaalam wa maswala ya uhusiano Chris Hart anasema...
traffic-police_0

Siku Za Mwizi ni 40, Jamaa Akamatwa Kwa Kumiliki Sare Za Polisi Migori

Polisi huko Rongo kwenye kaunti ya Migori wamemkamata mtu mmoja aliyekuwa ametoweka mara mbili kutoka mikononi mwa polisi alipokuwa amekamatwa kwa kumiliki sare za polisi pamoja na bunduki aina ya...
GTY_oil_spill_4_kab_150520_4x3_992

Waathiriwa Wa Mafuta Yaliyotapakaa Koru Wataka KPC Iwape Makao Mengine

Familia zilizoathirika kutokana kutapakaa kwa mafuta ya diesel eneo la Koru, Muhoroni kutokana na wahalifu kufyonza mafuta kutoka bomba la kampuni ya mafuta – KPC wanashinikiza kupewa makaazi mapya. Hata hivyo,...
fire incident

So Sad: Four Months Infant Burnt To Death

Residents of Kabati Estate in Naivasha, are in mourning after a four-month-old minor was burnt to death during a incident where property worth thousands of shillings was destroyed. According to...
murder-png

NAIVASHA: 13-year-old Boy Found Guilty Of KIlling 11-year-old Girlfriend

The High Court seating in Naivasha has now found a thirteen year old boy charged guilty of murder. The class three pupil was charged with killing his 11-year-old girlfriend a...
sgr

Wakenya, Seriously? Three Brokers Arrested For Selling SGR Tickets – Mombasa

Police have arrested three suspected brokers selling Standard Gauge Railway tickets to travellers at high prices in Mombasa.   Regional coordinator Nelson Marwa says the brokers are causing artificial shortages...