Author: Davis Ojiambo

Bio:

Latests Posts By Davis Ojiambo

Migne

Kocha wa Harambee Stars Sebastain Migne ajiuzulu

Harambee stars sasa italazimika kutafuta huduma za mkufunzi mpya baada ya Sebastian Migne kujiuzulu. Minye ambaye aliteuliwa mkufunzi mkuu wa Harambee Stars mwaka 2018 alijuzuku baada ya kufanya mashauriano na...
tekno

Tekno matatani! kwa kucheza na wanawake wakiwa uchi hadharani

Mwanamziki wa Nigeria, Tekno, mwenye umri wa miaka 26 amekamatwa na maafisa wa polisi kwa kosa la kukata densi na wanawake waliokuwa nusu uchi ndani ya lori la maonyesho katikati...
WAITITU

Masaibu bado yamzonga Waititu

Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu anakodolea macho tena mashtaka mengine ya ufisadi huku maafisa wa upelelezi wakikaribia kumaliza uchunguzi kuhusu mradi wake uliozingirwa na utata wa Kaa Sober uliogharimu shilingi...
bobiwineinjail

Maajabu! Bobi Wine ashtakiwa kwa kupanga kumkasirisha Museveni

Mbunge ambaye pia ni mwanamzviki nchini Uganda Bobi Wine ameshtakiwa kwa kupanga njama za kumkasirisha au kumkejeli rais Yoweri Museveni. Hili shtaka jipya limeongeza kwa lile la awali la uhaini. Katika...
waiguru

Afueni kwa Waiguru! Mahakama ya juu yaidhinisha uchaguzi wake

Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru amepata afueni baada ya mahakama ya Upeo siku ya Jumanne kutupilia mbali kesi iliyowasilishwa na kinara ya Narc Kenya Martha Karua kupinga uchaguzi wake wa...
Mwandishi Tony Mochama

Mwandishi Mochama kulipwa fidia ya milioni 9, kwa kuharibiwa jina

Mahakama imemtunuku mwandishi Tony Mochama shilingi milioni tisa kama fidia katika kesi ya kumharibia jina. Hakimu mkuu A.M Obura alisema kwamba hapakuwepo ushahidi wa kutosha kuwa Mochama aliwadhulumu kimapenzi mwanaharakati...
crime

Saratani! Mama ajitoa uhai baada kungundua anaugua saratani

Mwanamke mwenye umri wa makano aliyekuwa ameigunduliwa kuungua saratani alijitia kitanzi katika mtaa wa Kasarani, mjini Naivasha. Wakaazi walioshtuliwa na kisa hicho walimpata mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 38...
IMRAN

7 wamezea mate kiti cha Marehemu Ken Okoth

Siku chache baada ya mwili wa aliyekuwa mbunge wa Kibra Ken Okoth kuchomwa harakati za kurithi kiti chake zimeanza. Wagombeaji saba tarayi wanaonekana kujibwaga uwanjani kutwaa wadhifa wa Okoth aliyefariki...
Granton Samboja

MCA’s waTaita Taveta sasa waomba maridhiano na Samboja

NA SOLOMON MUINGI Baada ya vuta ni kuvute baina ya Gavana wa Taita Taveta Granton Samboja na wawakilishi wadi hatimaye upande umeona umuhimu wa mashauriano.   Wawakilishi wadi katika kaunti...
Luo.elders

Mjane wa Ken Okoth kurithiwa na kakake mumewe – Wazee wa waluo wadai

Mjane wa marehemu mbunge wa Kibra Ken Okoth, Monica, anafaa kwanza kufanyiwa tambiko ili kumsafisha kabla ya kuthiwa na kaka mkubwa wa marehemu mumewe, wazee wa jamii ya waluo wamesema....