Author: Elizabeth Musyimi

Bio:

Latests Posts By Elizabeth Musyimi

harmonize

Harmonize kutoa album mwaka huu

Staa wa Muziki wa Bongo Flava Harmonize ametangaza kutoa album inayoitwa “AfroEast” mwaka huu wa 2020. Aliandikwa kwenye Instagram kuwa, “I’m bringing all my friend in (1) Trust me this is...
zari

Zari awaomba mashabiki kupunguza kufuatilia mwanamme wake

Zari Hassan alionekana kwenye picha akiwa na mwanamme ambaye amekisiwa kuwa ndiye mpenzi wake mpya anayemuita King Bae. Mwanamme huyo kwa jina Cedric Anthony Fouries alionekana akila denda na Zari...
tanasha

‘Diamond anahofia ndoa,’ Asema dadake, Esma

Esma Khan, dadake Diamond Platnumz amesema kwamba mwanamziki huyo anahofia sana kufunga ndoa kabla ya kujiandaa. “Sisi hujadiliana sana kuhusu masuala ya ndoa, [Diamond] ni mtu anayehofia sana kujiingiza kwenye...
_MG_8066 (1)

Photos: Jah Cure brings Nairobi to a standstill

The Umoja Splash Festival went down on Saturday night to Sunday morning headlined by Jamaican reggae artiste and King of Lover’s rock Jah Cure. The event saw thousands of Kenyans...
DK Kwenye beat

DK Kwenye Beat ‘Nilipimwa herpes, sikujua ni ugonjwa gani’

Mwanamziki DK Kwenye beat ameeleza kwa mara ya kwanza kwamba baada ya skendo yake, alienda kupima ugonjwa wa herpes. Akizungumza na Massawe katika Ilikuaje, DK ameeleza kwamba hana ugonjwa huo...
patanisho.fresh

PATANISHO: Alinichapa na kuniumiza mbavu na kichwa

Paul mwenye miaka 32 aliomba kupatanishwa na Martha mwenye miaka 28. Wawili hawa wamekua kwenye ndoa kwa miaka tisa lakini Paul akamchapa na kumuumiza Martha, ambaye aliondoka. PAul alieleza kwamba;...
TANASHA7__1___1561360136_69462

‘Vijana chipukizi wanaopendana,’ Mama Diamond asifia Tanasha

Mama ya Mwanamziki Diamond Platnumz amemsifia Tanasha Donna ambaye ni mpenzi wa mtoto wake. Mama Diamond ambaye anajulikana kwenye mitandao ya kijamii kama Mama Dangote alitoa sifa hizo kwenye Instagram...
Hamisa Mobetto

‘Sidaiwi kodi,’ Hamisa Mobetto akanusha fununu

Hamisa Mobetto ambaye ni mwanamitindo kutoka Tanzania amekanusha madai kwamba anadaiwa kodi. Akiongea na SnS, Mobetto, ambaye pia ni mwanamziki amesema kwamba hajawahifeli kulipa kodi ya nyumba. “Mimi sidaiwi kodi...
Willy-paul-696x522

Willy Paul anataka mwanamke, sio mke

Willy Paul ameweka wazi kwamba anataka mwanamke ambaye atakuwa mwandani wake ila hatamuoa. Amesema anawezakuwa katika mahusiano zaidi ya miaka thelathini bila kuoa. “Kwanini nioe? Nataka mwanamke lakini sio mke”...
Vanessa Mdee na JUma Jux

Vanessa Mdee aachana na mpenzi wake Juma Jux

Mwanamziki Vanessa Mdee ametangaza rasmi kwamba ameachana na aliyekua mpenzi wake Juma Jux. Wawili hao kutokea nchi jirani ya Tanzania wamekua kwenye mahusiano kwa mda mrefu. Kwenye mtandao wake wa...