Author: Geoffrey Mbuthia

Bio:

Latests Posts By Geoffrey Mbuthia

Uhuru at the Waiguru's wedding

Uhuru asisistiza kampuni za michezo ya bahati nasibu zinafaa kulipa ushuru

Rais Uhuru Kenyatta hapo jana alizungumzia marufuku ya kampuni za michezo ya bahati nasibu na kusema kuwa zinafaa kulipa ushuru. “Gambling, we want to get that money so that our...
Zari admires Sonko

“Sonko ni mtanashati na ninampenda,” asema Zari

Mfanyabiashara maarufu mganda anayeishi Afrika Kusini amekiri mapenzi yake kwa gavana wa Nairobi Mike Sonko. Aliwashangaza wengi hivi majuzi aliposema wakati wa mahojiano katika kituo kimoja Cha redio Cha Afrika...
Uhuru Kenyatta with Raila Odinga, Waiguru and Kamotho

“Umempata mke mwenye bidii ya mchwa” Uhuru amwambia Waiganjo

Waiguru amekuwa akivuma sana wikendi hii kufuatia harusi yake ya kitamaduni tena ya kifahari hapo jana. Harusi hiyo ilihudhuriwa na watu mashuhuri mbali mbali pamoja na wanasiasa kama vile Rais...
bahati-and-diana-marua-e1508571300568-696x411

Iwapo unataka raha katika ndoa, fuata ushauri wa mke wako – Bahati

Mwimbaji wa nyimbo za injili Kevin Bahati ametoa ushauri kwa wanaume wenzake kuhusu ndoa. Amewaambia wanaume kuwa wanafaa kuwaruhusu wake zao kuwashauri na watilie maanani ushauri huo iwapo wanataka kuishi...
Otiende Amollo

Kanda ya video ya Otiende Amollo akipika sima yawafurashisha wakenya

Ni nadra sana kuwaona viongozi, haswa wa kisiasa humu nchini wakifanya kazi kama vile kupika au kufanya usafi. Na labda hii ndiyo sababu iliyopelekea kanda ya video ya Mbunge wa...
William Ruto

Mbona William Ruto aliamua kupunguza uzito wake.

  William Ruto huenda ni mmoja wa wanasiasa waliovuma sana humu nchini lakini kuna wakati uzito wake ulitatiza kazi yake kama naibu wa Rais. Kwa  wakenya ambao huyafuata maisha yake...
Cutting Kiande at Waiguru's wedding 10

Hatimaye Waiguru na Waiganjo wafunga pingu za maisha(Picha)

Harusi ya gavana wa Kirinyaga Ann Waiguru imefanyika leo. Sherehe hiyo ilihudhuriwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa na watu mashuhuri kama vile, Rais Uhuru Kenyatta, kiongozi wa upinzani Raila...
Waiguru's mother together with Michael 1

Tazama picha zaidi za mamake Waiguru katika harusi yake

Leo ni harusi ya gavana Anne Wiaguru. Waheshimiwa mbali mbali akiwemo rais Uhuru Kenyatta na aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga wanatarajiwa kuhudhuria sherehe hiyo. Muriuki Michael ambaye ni ndugu yake...
Kalekye Mumo

Kalekye Mumo asimulia changamoto anazopitia katika kupata mume.

Kalekye Mumo hivi majuzi alisimulia wazi jinsi ambavyo imekuwa changamoto kwake kupata mchumba. Kupitia mahojiano ya runinga katika kipindi cha kituo cha NTV cha Wicked Edition, Kaleyake ambaye alikuwa mtangazaji...
Eric Wainaina talking to an official

Boniface Mwangi awalaumu maaskarai wa kaunti kwa kutatiza tamasha ya Eric Wainaina.

Mapema asubuhi ya leo Boniface Mwangi aliandika ujumbe wa kutisha katika mtandao wa Twitter kuhusu tamasha iliyotarajiwa kufanyika huko The Elephant. Boniface alidai kuwa maafisa wa kaunti ya Nairobi walivamia...