Author: Grace Muia

Bio:

Latests Posts By Grace Muia

Mary Kamaranga na Joseph Kori

Mauaji ya Wambui: Polisi kumuachilia huru Joseph Kori

Joseph Kori ambaye ni mume wa mwendazake Mary Kamangara, Alhamisi ilikuwa siku ya kueka katika kumbukumbu zake za maisha hii ni baada ya kutolala korokoroni kwa maana aliweza kuachiliwa huru....
52971430_408971993205606_9127616724537966592_n-e1550817959368

Beryl Ouma alikuwa mjamzito kabla ya madai ya mauaji

Familia na marafiki bado hawajaweza kubali kifo cha Beryl Ouma, 28, ambaye anadaiwa kuuwawa na mume wake, akiwa nyumbani kwake Kahawa Sukari. Mwili wake uliweza kupelekwa katika hospitali ya Neema...
Musa Ingosi alizaliwa na wazazi ambao walikua ndugu na dada

Ilikuaje: Nilizaliwa na kaka na dada, Musa Ingosi asimulia

Musa Ingosi ni mwanaume  ambaye alizaliwa na mwanamke ambaye aliweza kuwa na uja uzito wa  ndugu yake. Baada ya kuzaliwa, mama yake mzazi aliweza kuambiwa kuwa ameweza kuzaa mtoto wake...
marcusrashford

Barcelona have made Marcus Rashford their ‘impossible dream transfer’

Manchester United star Marcus Rashford has emerged as Barcelona’s ‘impossible dream. The England striker is attracting interest from the Nou Camp, according to reports. But the Catalan giants are realistic...
Screen.Shot.2019.02.22.at.8.06.05.AM.696x406(1)

Watu wengi wanadhani huwa tunaongea na Dennis Okari – Betty Kyallo

Betty Kyalo ameweza kufichua kuwa uhusiano wake na Dennis Okari haupo hata licha ya kuwa na ushirikiano wa kuwa wazazi. Betty ameweza kuwaambia mashabiki wake ambao ni wajasusi kuwa yeye...
Beril Ouma

Beril Ouma kuuwawa na mume wake eneo la Kahawa

Ni mauaji ambayo yalitokea katika eneo la Kahawa Sukari ambapo mume anadaiwa kumuuwa mke wake Beril Ouma kwa sababu ya mgogoro wa kifamilia. Ibada ya kumbukumbu ya mwanaharakati Caroline Mwatha...
caroline mwatha

Ibada ya kumbukumbu ya mwanaharakati Caroline Mwatha

Ni kifo ambacho mwendazake mwanaharakati Mwatha aliweza kukumbana nacho, mwanaharakati huyo aliweza kuuwawa kwa hali tatanishi. Daktari wa upasuaji aliweza kusema kuwa Caroline aliweza kuaga dunia kwa sababu ya kuavya...
joycenjoroge

Ilikuaje: Joyce asimulia vile aliolewa akiwa na miaka 11

Joyce Njoroge ni mjane ambaye aliolewa akiwa na miaka kumi na moja. Mama yake aliweza kuolewa na kisha kurudi kwao kwa ajili ya mgogoro wa familia. Aliporudi kwao aliweza kuwa...
1898069(2)

Polisi 5 wa akiba kuuwawa na mifugo kuibwa katika shambulizi Baringo

Maafisa 5 wa taifa wa akiba waliweza kuuwawa na idadi isiyo julikana ya mifugo kuibwa na majambazi ambao wanashukiwa walitoka Pokot, kisha kushambulia Arabal, Baringo Alhamisi asubuhi. Why won’t you...
Cristiano Ronaldo

‘I’ve won five Champions Leagues!’ Ronaldo mocks Atletico Madrid

A wound-up Cristiano Ronaldo continued to taunt Atletico Madrid fans after Juventus’ 2-0 defeat, holding up five fingers in the media zone for each of his Champions League titles. Having been singled out by...