Author: nickson tosi

Bio:

Latests Posts By nickson tosi

kmutahi

Watu 181 wapatikana na virusi vya corona

Imebainika kuwa baada ya sampuli za watu 2,131 kufanyiwa vipimo,watu 181 kati yao wamepatikana na virusi vya corona na kufanya taifa kuwa na watu 8,067 walioathirika na virusi hivyo. Wakati uo huo...
IMG-20200706-WA0016

Wafanyakazi wawili katika shirika la utangazaji KBC wapatikana na corona

Wafanyakazi wawili katika shirika la utangazaji nchini KBC wamepatikana na virusi hatari vya corona. Katika barua iliyotumwa kwa vyombo vya habari nchini na mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Naim Bilal,...
EcPOSWyXsAEM9cW.jfif

Ukitaka kurudi nyumbani ni sawa. Hiyo ni shauri yako! Rais Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta sasa amewataka wakenya kuwajibikia mienendo yao wenyewe baada ya kuondoa marufuku yaliyokuwa yamewekwa na serikali. Uhuru Kenyatta: Kwa wale ambao watachukua fursa hii kwenda nyumbani, ujue jukumu...
EcPJA4OXkAABVK8.jfif

Rais Uhuru Kenyatta afungua shughuli za usafiri katika majimbo yaliyokuwa yamefungwa

Katika hotuba yake kwa taifa ,kiongozi wa taifa ameamuru kurejelewa kwa shughuli za usafiri ndani na nje ya kaunti zilizokuwa zimefungwa za Nairobi, Mombasa na Mandera ili kufufua uchumi wa...
polisi

Afisa wa polisi wa kike azuiliwa kwa kujaribu kumuua mumewe

Afisa wa polisi wa kike anaendelea kuzuiliwa katika kaunti ya Kisumu kwa tuhuma za kujaribu kumuua mumewe kwa kumpiga risasi baada ya kuwa na mtafaruku baina yao. Maureen Awuor anamtuhumu...
corona.jfif

Visa 479,845 vya corona vimesajiliwa Afrika

Kufikia sasa watu 479,845  wameambukizwa virusi vya corona katika bara la Afrika huku watu wengine 230,016 wakiwa wamepona. Aidha watu 11,400 wanaripotiwa kufariki hadi sasa kutokana na virusi hivyo. Ulimwenguni kote,...
EcOl650XgAEBGP4.jfif

Seneta wa Baringo amwakilisha rais Kenyatta kwa hafla ya kuapishwa kwa rais mpya wa Malawi

Seneta wa Baringo Gideon Moi na katibu katika wizara  ya maswala ya kigen Ababu Namwamba wamemwakilisha rais Kenyatta katika hafla ya kuabishwa kwa rais Mteule wa taifa la Malawi Lazarus...
children-killed

Wazazi ni miongoni mwa washukiwa wakuu wa watoto waliopatikana katika kituo cha polisi

Wazazi wa watoto wawili waliopatikana katika kituo cha polisi cha Athi River wiki jana wakiwa wamefariki ni miongoni mwa washukiwa wakuu wanaochunguzwa na DCI. Makachero kutoka DCI wamewahoji watu kadhaa...
IMG-20200706-WA0001

Good Samaritan! Martin Imbalambala apata usaidizi

Kikundi cha wasamaria wema walijitokeza na kumsaidia mchezaji wa zamani wa AFC Leopards Martin Imbalambala ambaye alipoteza uwezo wa kuona. Korea kama alivyokuwa anafahamika, alipoteza uwezo wake wa kuona mwaka...
Isaac

Mwakilishi wa wanawake Baringo apoteza mumewe kutokana na Corona

Mwakilishi wa wanawake kaunti ya Baringo Gladwell Tungo anaomboleza kifo cha mumewe  Isaac Cherogony ambaye alifariki kutokana na virusi vya corona akiwa katika hospitali Eldoret. Asilimia kubwa ya wakenya wa...