Author: Maureen Waruinge

Bio:

Latests Posts By Maureen Waruinge

michael platini

Former UEFA President Michel Platini is ARRESTED

Former UEFA president Michel Platini has been arrested over the awarding of the 2022 World Cup. French legend Platini was elected in 2007 and served as president until 2015 when he...
hopekidface

‘Most Kenyan Gospel artistes are hypocrites’, – Hopekid

When Hopekid was in his darkest moment, only three gospel artistes stood by him. Hopekid joined Radio Jambo’s Japanni Massawe where he slammed Gospel artistes and the industry at large...
Hopekid

Ilikuaje: Hopekid reveals student in threesome scandal with DK Kwenye Beat was suicidal

Katika awama ya mwisho Redio Jambo, tulikuwa naye msanii Hopekid ambaye aliongea mengi kuhusu maisha yake. Mapema mwaka huu kulikuwa na story walikuwa na threesome na mahusiano na dada fulani....
ghostnagidiasubuhi

Patanisho: Mke wangu hupigia customer wangu wa Uber na kubishana nao

Abel na Zippoteha walikosana juzi mwezi kama moja iliyopita baada ya mke wake kubadilika alipopata kazi Wapendwa wawili hawa wamekaa miaka sita bila kukosana na Abel alituma SMS akiuliza apatanishwe...
Esther Passaris

Tazama vazi lake Esther Passaris linalozua gumzo kwenye mitandao

Kuna ubuyu mwingi umetokea mtaani baada ya viongozi wa kaunti ya Nairobi  Mike Sonko na Esther Passaris kuhusika katika drama tangu mosi ya Juni katika sherehe za Madaraka. Viongozi hawa...
Court

Mwanadada afungwa kifungo cha maisha jela kwa mauaji

Mahakama kuu Naivasha imemfunga mwanamke kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanafunzi wa chuo kikuu miaka 5 iliyopita. Cecilia Waruguru Muriithi, 36 alishtakiwa kumuua mwanafunzi wa...
RIP

Boy, 9 dead after classmate after horrifying fight in Homabay

A primary school in Suba South, Homa Bay county is in mourning after a class two pupil killed his classmate during playtime. Collins Onyango, 9, died while undergoing treatment at...
deyainradiojambo

‘Wanawake Kenya ni kama njugu’ shouts Pastor Deya on fighting temptations

  Pastor Gilbert Deya was dumped three times before finding the woman of his dreams, who also dumped him after getting a child with another man. The miracle Pastor revealed...
ghostansgidifri

Patanisho: Familia imenitenga nikuona kaburi tuu alia Okada

Givinalis Okada aliomba patanisho huku akikiri kuwa maisha yake yamo hatarini. Alisema, ‘Niokoe maisha. Nimeshindwa kabisa oh my god familia imenitenga kabisa, nikuona kaburi tuu. Kisa na maana? Okada aliendela...
Court

‘Nilisikia ukemi wa mtoto’ mamake msichana aliyebakwa atoa ushahidi

  Mahakama moja ya Hola imemhukumu mwanamume mwenye umri wa miaka ishirini kifungo cha maisha kwa kumnajisi mtoto mdogo. Hakimu Mwandamizi wa Hola Bw. Alloyce Ndege alimpata Doyo Said na...