Author: sedellar righa

Bio:

Latests Posts By sedellar righa

ghostmuleewifecarol

Mapenzi tele! Orodha ya watu mashuhuri waliofunga ndoa zaidi ya miaka 25 iliyopita

Wiki hii mtangazaji wa kituo hiki Ghost Mulee alionyesha mapenzi kwa mkewe kwa kumpongeza kwa miaka 27 ya ndoa.Katika mtandao wake maridhawa wa Insta, Ghost aliposti picha yake pamoja na...
allan.muliro

Nilipoteza kazi kwa sababu ya uraibu wa kunywa pombe – Allan Muliro

Allan Muliro, mwigizaji murua wa kipindi cha Inspekta Mwala, akizungumza na vyombo va habari, amedokeza vile ambavyo alipigwa kalamu. ‘Nilipoteza kazi yangu ya upresenta wa show murua ya spoti na...
kagame daughter

Ndoa! Pata kujua jinsi ya kumfurahisha mama mkwe

Hayawi hayawi huwa! Likizo imekaribia na ninajua fika kuwa, mabinti wengi wako kwenye pilkapilka za kujitayarisha kuenda kuwaona wazazi wa wapenzi wao. Kwa hayo, Radio Jambo imewaandalia orodha ya mambo...
gidi's daughter 1

Wanaume mashuhuri wanaojivunia kuwa wazazi

Watoto ni baraka na huwa nafurahishwa sana endapo wanaume wanajivunia kuwa na watoto wao kwani ni wengi si kidogo ambao hutengana na mama ya mtoto wao na hata kusahau kabisa...
Cherry Sue

Tunayaona ya Firauni kweli! Bi Harusi aenda harusini na jeneza

Ama kwa hakika, ni wazi kuwa wahenga wa kale hawakuwa wanatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa waliposema, ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Wapenzi wawili waliokuwa wakifunga pingu za maisha...
Awiti-of-Real-Househelps-of-Kawangare-also-known-as-Winnie-Rubi

”Huwa natia bidii kwa sababu yake” Awiti afunguka

Awiti ambaye ni baadhi ya waigizaji bora nchini ni mama na mlezi wa mtoto mmoja ambaye ni wazi kuwa anampenda sana si kidogo. Hivi juzi, mama huyu alisherehekea siku ya...
Jacque Maribe na Jowi

”Kazi ya Jowie ilikuwa kumpeleka Maribe kazini na kulala” Binti afunguka

Katika kesi inayoendelea ya Jowie na binti Maribe kuhusu mauaji ya binti Monicah,binti mmoja aliyekuwa mfanyikazi wa Terryanne Chebet alijitokeza kama shahidi kortini na kusimulia yaliyotendeka. Binti huyu alimfanyia kazi...
nicah3

Mapenzi matamu! Nicah the Queen afichua sura ya mpenzi wake

Mwanamuziki wa nyimbo za injili binti ‘Nicah The Queen’ amepata sabuni ya roho yake. Mama huyu mwenye watoto wawili amekwachuliwa na mwanaume kutoka Nigeria. Mwanamke huyu alikuwa jijini Mombasa na...
Jacque-Maribe_lawyer_STANDARD-s-1

”Usiwahi msahau huyu mwanaume”Mashabiki wamuomba Maribe

Aisee! Ninaamini kuwa baba ya binti Maribe anafaa tuzo la kuwa baba bora zaidi kwani ni wazi kuwa alimtetea sana na kumpigania binti yake Jacque alipokuwa na kesi ya mauaji...
Jacque_Maribe_-580x405

Mungu ni mwema! Huenda mkamuona Jacque Maribe kwenye runinga karibuni

Binti Jacque Maribe alikataa usaidizi wa hakimu aliyejitolea kumsaidia arudi kufanya kazi kwenye televishini. Jacque alipokuwa kortini na aliyekuwa mpenzi wake bwana Jowi, walipewa kiapo cha kutosoma habari kwenye runinga...