Author: Tina Mwambonu

Bio:

Latests Posts By Tina Mwambonu

kanyari1

Kutokomaa kulinigharimu ndoa yangu, asema Kanyari.

Mhubiri tata Victor Knyar8i hatimaye ameelize kile kilichosababisha ndoa yake na mwanamziki maarufu Betty Bayo kuvunjika. Akizungumza na gazeti la The Star siku ya Jumamosi, Kanyari alisema kuwa walioana wakiwa...
Waiguru's traditional wedding 2

Picha za harusi ya Waiguru na mpenziwe Waiganjo

Gavana wa Kirinyaga Ann Waiguru anatarajiwa kufunga ndoa hii leo na mpenzi wake wakili Kimotho Waiganjo katika sherehe inayoendelea hivi sasa. Sherehe ya harusi yao ambayo itakuwa ya kitamaduni itafanyika...
Court-Gavel-Thumb

EACC kuwajulisha washukiwa kabla ya kuchunguza akaunti zao za benki

Siku ya Jumatano jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa liliamua kwamba tume ya EACC inapaswa kuwajulisha washukiwa kabla ya kutafuta agizo la mahakama kuruhusiwa kuchunguza akaunti zao za...
bob collymore

Misa ya wafu ya Collymore kufanyaki kesho

Ibada ya ukumbusho ya Bob Collymore itafanyika hapo kesho katika kanisa la All Saints Cathedral. Duka zote za Safaricom kote nchini zitasalia kufungwa kati ya saa nne unusu asubuhi hadi saa...
fgm

Daktari kufika mahakamani akitaka ukeketaji wa wasichana kuhalalishwa.

Kiongozi wa jamii ya Maasai ambaye pia ni daktari atatoa ushahidi katika kesi inayotaka kubadilishwa kwa  sheria dhidi ya ukeketaji wa wasichana. Daktari Tatu Kamau anasema kuwa wanawake wote haswa wale waliotimu umri...
pesa

Ubalozi wa Amerika sasa unakubali noti mpya unapolipia visa

Ubalozi wa Amerika hapa jijini Nairobi umesema sasa unakubali  noti mpya unapolipia visa pamoja na huduma zozote katika ubalozi huo baada ya kufanya mkutano na benki kuu ya Kenya. Ubalozi huo...
Ruling

Washukiwa wanne wa shambulizi la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa kuhukumiwa leo

Washukiwa wanne wanaoaminika kuhusika katika shambulizi la kigaidi katika  chuo kikuu cha Garissa watajua hatama yao hii leo mahakama itakapo toa hukumu. Walipatikana na makosa uuaji, kuwa katika kundi la...
Ebola death

Gavana wa Kericho athibitisha kisa cha Ebola kimeripotiwa

Gavana wa Kericho Profesa Paul Chepkwony amethibitisha kisa kilichoripotiwa cha Ebola kaunti hiyo. Amewapongeza madakatari wa kaunti hiyo kwa kuchukua hatua za dharura katika kukabiliana na kisa hicho. Chepkwony amewahakikishia...
naivasha.district.hospital

Mwanaume apatikana ameuawa na mwili wake kutupwa Naivasha

Idadi ya watu wanaopatikana wakiwa wameuawa na mili yao kutupwa huko Naivasha imeongezeka hadi nne hii leo, baada ya mwanamme mmoja kupatikana ameuawa na mwili wake kutupwa katika barabara ya...
taitataveta

Majumba yaliyojengwa kwenye ardhi za umma kubomolewa Taita Taveta

Mwakilishi wa wadi ya kaloleni katika kaunti ya Taita Taveta Omar Ahmed amesema kuwa kaunti hiyo itaanza kubomoa majengo yote ambayo yamejengwa kwenye ardhi za umma. Omar amefichua kuwa kwa sasa...