Author: Tina Ngema

Bio:

Latests Posts By Tina Ngema

merlin_140906961_6e0e3d89-f56b-427b-afed-582f3c0116c2-articleLarge

Watu 3 wateketea moto katika vyumba vya malazi Nairobi

Watu watatu wameteketea kiasi cha kutotambulika mapema siku ya Jumatano baada ya moto kuchoma nyumba wanazoishi karibu na Bus Station, jijini Nairobi. Polisi wamesema uchunguzi wa awali unaonyesha kua moto...
Court-Gavel-Thumb

Jamaa ashtakiwa kwa kujifanya kuwa afisa wa polisi Voi

Mwanamume mmoja alifikishwa katika mahakama ya Voi kaunti ya Taita Taveta hapo jana kwa kujifanya afisa wa polisi. Tazama vazi lake Esther Passaris inayozua gumzo kwenye mitandao Reuben Gachanja Kang’ethe...
state house

Jamaa aliyejihami kwa kisu ajaribu kuingia ikulu

Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu mwenye umri wa miaka 25 alipigwa risasi Jumatatu na polisi wanaoshika doria katika Ikulu alipojaribu kuinguia ndani kwa kuruka ua. Brian Kibet Bera, mwanafunzi wa...
Accident_COURTESY

Dereva wa Trela afariki katika ajali kwenye barabara ya Eldoret-Malaba

  Dereva mmoja wa trela ameaga dunia mapema leo katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika eneo la Ndengelwa kwenye Barbara kuu ya Eldoret- Malaba. Beach Boys’ wanawakera watalii huko...
TofoBeach

‘Beach Boys’ wanawakera watalii huko Pwani

  Imebainika sasa kwamba Kenya hupoteza asilimia 90 ya watalii wanaotembelea eneo la pwani kutokana na usumbufu unaosababishwa na vijana wajulikanao kama ‘beach boys’.     Kauli Ya Siku 10th...
Nairobi-County-City-Council-606x330

Kaunti kupewa shilingi bilioni 1.2 kwa miradi waliopendekeza

    Kaunti kumi na mbili zilizoshiriki katika vikao vya mashauriano ya bajeti ya mwaka 2019-20 wana kila sababu ya kutabasamu kwani wabunge wamependekeza wapewe shilingi milioni moja kwa miradi walioitambua....
EID

Rais awatakia Waislamu wote Eid Mubarak

Rais Uhuru Kenyatta ametuma ujumbe wa kheri njema kwa waislamu wote nchini, wanaposherehekea siku kuu ya Eid hapo kesho. Rais anasema tunapoadhimisha siku hio, tusiwasahau maskini katika jamii. Rais ambaye...
maize flour

Bodi ya nafaka haijawalipa wafanyikazi wake kwa miezi miwili

Wafanyikazi wa bodi ya nafaka NCPB hawajalipwa mishahara kwa miezi miwili iliyopita, afisa wa bodi hio amefichua.     Taasisi hio ya serikali inang’ang’ana kulipa mishahara na bili za umeme....
Crime

Malava: Familia yadai haki baada ya jamaa yao kuuawa kinyama

  Familia moja kutoka kijiji cha Chimoroni eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega inawataka maafisa wa usalama kuharakisha uchunguzi na kuwatia nguvuni wahusika wa mauaji ya jamaa yao.  ...
oduya-pic

Familia ya Oprong yaomba msaada wa mazishi

Familia ya aliekuwa mbunge wa kwanza wa eneo la Teso siku hizo likijulikana kama Busia kaskazini Oduya Oprong imetoa wito kwa serikali kuisaidia kumzika mbunge huyo mbali na kuwasaidia wanao...