Author: Yusuf Juma

Bio:

Latests Posts By Yusuf Juma

alex mutuku cover

Mdukuzi anayelaumiwa kwa kupoteza bilioni 4 za KRA kujua hatma yake leo

Mshukiwa aliyeshtakiwa kwa kusababisha halmashauri ta ukusanyaji ushuru nchini KRA kupoteza shilingi takriban bilioni nne kwa kudukua mfumo wa KRA Alex Mutungi Mutuku leo atafahamu hatma yake. Mahakama moja ya...
A woman and her daughter arrange branches of khat into small bundles in Mogadishu August 9

New scare for miraa users

A new study in Nairobi says miraa (khat) chewing causes serious mental problems in humans. The report comes weeks after Government scientists gave the herb a clean bill of health....
Ruth.odinga

Ruth Odinga aagizwa kumfidia mfanyibiashara kwa kuharibu gari lake

Naibu gavana wa Kisumu Ruth Odinga ameagizwa na mahakama kumlipa mfanyibiashara mmoja shilingi  495,820 kwa kuharibu gari lake. Bwana Rickham Muga alimshtaki Bi Odinga  kwa kuharibu gari lake  wakati magari...
casablancaclubmombasa

Kahaba auawa katika kilabu ya burudani ya Casablanca Mombasa

 Mshukiwa mmoja amekamatwa kuhusu mauaji ya kahaba mmoja katika kilabu ya burudani ya Casablanca mjini Mombasa. Mauaji hayo yalitekelezwa mwoshoni mwa wiki baada ya mwili wa mwanamke huyo kupatika katika...
unarmed-security-guard

Mlinzi wa usiku auawa Kwale

Polisi wanalisaka  genge la majambazi  waliomwua mlinzi mmoja huko Ukunda, Kwale kwa kumkatakata na kisha kuiba kompyuta mbili katika afisi aliokuwa akilinda. Kamishna wa kaunti ya Kwale Kutswa Olaka  amesema...
doctors-strike

Madaktari wa Tanzania hawataki kuja Kenya

Chama cha Madaktari nchini Tanzania kimepinga mpango wa kuwatuma madaktari 500  humu nchini wakisema Tanzania ina upungufu mkubwa wa madaktari.   Hii inafuatia makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na...
nderitu gachagua

Rigathi Gachagua ajiondoa kutoka kinyang’anyiro cha ugavana Nyeri

Rigathi Gachagua,  kakake marehemu gavana wa nyeri Nderitu Gachagua  amejiondoa kutoka kinyng’anyiro cha kiti cha ugavana mwezi agosti. Rigathi hata hivyo amesema  atautumia mtandao wake wa kisiasa kumsaka na kumwunga...
wakimbizi

Wakimbizi wa Migori wataka kufidiwa

 Wakimbizi wa ndani kwa ndani kutoka kaunti ya Migori wameitaka serikali kuu kuwalipa fidia yao ya shilingi elfu mia mbili  kwa hasara waliopata baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa...
kenya-police

Kenya Gets Security Boost As More Officers Graduate

More than 3,985 fresh officers are graduating today from the Administration Police training college in Embakasi, Nairobi. The fresh officers are a big boost to law enforcement at a time...
goat

Ukistaajabu Ya Musa, Mbuzi Azaa Kimeme Kilicho Na Sura Ya Binadamu Kitui

Wakaazi wa kijiji cha Kangenge huko Kituo wameamkia mshangao leo  baada ya  mbuzi kuzaa kimeme chenye sehemu mbili; moja ya mbuzi na nyingine inayofanana na binadamu. TAITA TAVETA: Mbuzi Azaa...