Author: Yusuf Juma

Bio:

Latests Posts By Yusuf Juma

betty kyallo

Betty Kyallo: Sijaenda Dubai !

Mtangazaji wa zamani wa K24 Bett Kyllo amekanusha ripoti katika twiter kwamba ameenda Dubai baada ya  mkoba fulani kuonyeshwa katika picha ya viongozi wawili wa ODM  Junet Mohamed na Hassan...
KAGWE

Covid 19:Watu 447 wapatikana na corona na kufikisha visa hivyo kuwa 8975 nchini

Kenya leo imesajili visa vingi zaidi vya watu walio na ugonjwa wa corona kwa siku moja baada ya watu 447 kuthibitishwa kuwa na virusi hivyo  na kufikisha jumla ya wagonjwa...
Ngilu

Mashakani: Mahakama yakataa kuzuia hoja ya kumuondoa Ngilu afisini

Gavana wa Kitui  Charity Ngilu amepata pigo baada ya mahakama kukataa kuzuia kuwasilishwa kwa hoja ya kumuondoa afisini. Ngilu  alikuwa amewasilisha kesi kortini Juni tarehe 24 akitaka kupata maagizo ya...
Nandy 1 (1)

Wedding Bells? Nandy Ampeleka ukweni Billnass

Miezi mitatu baada ya Billnass kumpa pete ya uchumba mpenzi wake Nandy ,yaonekana wawili hao wamechukua hatua za haraka kujitosa katika safari ya ndoa iwapo  safari ya Nandy kumpeleka ukweni...
Rent

Ni kubaya! 37% ya wakenya walishindwa kulipa kodi za nyumba mwezi Mei –utafiti

Zaidi  ya thuluthi moja ya wakenya walishindwa kulipa kodi yao ya nyumba mwezi Mei kulingana na  ripoti  ya  utafiti uliofanywa na serikali . Ripoti hiyo inayongazia athari za kiuchumi na...
Muguka

Hakuna ‘kuchana’: Maafisa wa kikosi cha kumlinda rais wapigwa marufuku kutumia miraa ,Muguka

Maafisa wa kikosi cha kutoa ulinzi wa rais wamezuiwa kutumia miraa na muguka. Shocking! Shilole ajitokeza kumwaga yote wazi kuhusu kupigwa na mumewe Uchebe Katika notisi kutoka kwa mkuu wa...
BRAZIL (1)

Dawa ya HIV imepatikana? Wanasayansi waonya kuhusu kusherehekea mapema baada ya jamaa mmoja kudaiwa kupona HIV Brazil

Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 36 nchini Brazil huenda akawa mtu wa kwanza kupona  HIV baada ya kutibiwa kwa mseto wa dawa za  kukabiliana na virusi hivyo, watafiti wamesema....
pjimage

Kifo cha Ghafla: Waziri Mkuu wa Ivory Coast Gon Coulibaly aaga dunia baada ya mkutano wa baraza la mawaziri

Waziri Mkuu wa Ivory Coast Amadou Coulibaly amefariki baada ya kuugua wakati wa kikao cha baraza la mawaziri. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 61 alikuwa amechaguliwa kuwa mgombea wa...
107023035_664487627612424_1522050795045149260_n

Shocking! Shilole ajitokeza kumwaga yote wazi kuhusu kupigwa na mumewe Uchebe

Muigizaji na mwanamitandao maarufu wa Tanzania  Shilole  amejitokeza na  picha za kuonyesha ushahidi  wa jinsi amekuwa akipigwa na mumewe Uchebe  na dhuluma nyingine katika ndoa yake. Panty kalinitoa na meno...
M O

Nahodha wa zamani wa Harambee Star Musa Otieno aondoka hospitalini

Aliyekuwa kapteni wa timu ya taifa ya soka Harambee Star Musa Otieno ameruhusiwa kwenda nyumbani kutka hospitalini . Otieno amekuwa  katika hospitali kuu ya KNH  kwa siku 10   akipokea matibabu...