Baada ya kutoa Utawezana na Mejja, Femi One arejea na Freestyle ya Wimbo huo

Q-8OwQq2
Q-8OwQq2
NA NICKSON TOSI

Saa chache tu baada ya kuutoa wimbo wa Utawezana akimshirikisha Mejja wa humu nchin, mratibu mkuu wa bodi ya kutathmini ubora wa video nchini Ezekiel Mutua aliutaja wimbo huo kama wa kupotosha maadili na kuvitaka vyombo vya habari kuucheza wakati ambapo watoto wa miaka chini ya 18 hawatazami runinga ama kusikilizi redio.

Femo One sasa amerejea na awamu nyingine ya wimbo huo kwa jina Lockdown,  raundi hii akiwa pekee yake .Tazama