Baada ya kutoka gerezani, adai kumlipua mwanamke ''lungula'' hadi kupoteza fahamu

NA NICKSON TOSI

Joseph Irungu almaarufu Jowie ama kwa jina jingine alilobadili siku moja tu baada ya kutoka gerezani Kush amebadili mtandao wake wa kijamii wa Instagram kuwa eneo la kuchekesha wafuasi wake kila mara.

Katika moja ya posti alizotuma alipokuwa akizungumza na mmoja wa marafiki wake Hamza, Jowie alituma ujumbe akidai kuwa alimlipua mwanadada mmoja lungula hadi akapoteza fahamu.

Jowie tangu atoke kizuizini kwa dhamana amekuwa akituma jumbe katika mitandao ya kijamii ikiwaacha wengi vinywa wazi, hapa ni ujumbe aliokuwa anamtumia rafikiye akidai kumlipua mwanamke lungula hadi kupoteza fahamu.

Angali anakumbwa na mashtaka ya mauaji ya mwanamke mfanyabiashara Monica Kimani na aliachiliwa kwa dhamana ya milioni 3 baada ya kuwa gerezani miezi 18

Mhariri: Davis Ojiambo