Baba Ya Nani Alicheza Nje? Kutana na mlinzi wa msanii Rihanna anayefanana na Jowie

Wakenya wengi hawawezi tulia baada ya picha ya mlinzi wa msanii Rihanna kusambaa mitandaoni huku akiwa anafanana na mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwana biashara Monica Kimani,Jowie.

Mlinzi huyo anaonekana kumshikia Rihanna mwavuli, huku akishika mono wa mlinzi wake, na wengi kuachwa midomo wazi kwa maaana hamna mlinzi ambaye anaweza kuguzana na mlinzi wake vivyo hivyo.

Wakenaya wengi kwa haraka walimfananisha na Jowie si ndefu, macho na mambo mengine mengi.

Macho na ndevu zake ndizo ziliwwafanya wengi kumfananisha na Jowie na hizi hapa baaadhi ya hisia zao,

@Kiara_Smith19: Legend has it he never washed that hand again.
Brooke
@wonderland449: You know his grandkids are gonna hear this story every family get together
@paulieshinobi: He will never been able to love another woman’s touch again.
@_Sacrilegious: I just know she smell like sugar, spice, & everything nice. But that touch would’ve turned me to melted butter on the inside.
@teeberculosis: That man is clearly trying to keep his kids inside is body.
Je wafikiri mlinzi huyo anafanana na Jowie au la?