Babangu alitaka kunibaka nikiwa na umri wa miaka 12 (AUDIO)

Mwanadada jasiri kwa jina la Maimuna, alipiga simu katika kipindi cha Jambo Massawe na kueleza jinsi babake mzazi alipogeuka mnyama na kutaka kumbaka, huku akiwa na umri wa miaka kumi na miwili tu,

Kulingana na Maimuna, hayo yalitendeka mwaka wa 2004 wakati mamake na babake walikuwa wamekosana na mamake alikuwa amefukuzwa nyumbani. Kisa hicho kilimvunja Maimuna na miaka kumi na minne sasa, wawili hao hawajawahi zungumza.

Soma usimulizi wake.

Mimi ni ya babangu mzazi, kuna kitu alinifanyia siwezi kitaja mpaka wa leo kutoka mwaka wa 2004. Alinifanyia mambo makubwamambo machafu.

Babangu mzazi alitaka kunibaka, alikuwa amekosana na mamangu wakati huo kabla yake kurudi lakini walikuja kuachana kabisa.

Niliwaambia mamangu na nyanyangu na hadi sasa hivi huwa hatuongei tangia 2014 nikiwa na miaka kumi na miwili.

&feature=youtu.be