Bajeti ya mamilioni katika sikukuu za kuzaliwa, Anerlisa na Saumu wapo ndani

Siku ya mtu kuzaliwa huwa ni kumbukumbu isiyosahaulika maishani.

Wengi husherehekea siku hii kwa mbwembwe za kila aina.

Kuna wale lazima wazuru maeneo au sehemu za kujivinjari.

Soma hadithi nyingine;

Mastaa na watu wenye majina makubwa hufanya bajeti kubwa.

Tunakusogezea hapa mastaa waliowahi kumwaga mamilioni katika sikukuu za kuzaliwa kwao.

Soma hadithi nyingine;

1. Nana Gecaga

Nana ni mpwa wake Rais Kenyatta.

Ukumbusho wa siku yake ya kuzaliwa ulifanyika mwaka jana Billionaire Resort iliyopo Malindi.

Alikuwa anagonga miaka 40. Sherehe hii ilifanyika wa siku mbili.

Soma hadithi nyingine;

Kero kwa Harmonize, Diamond azidisha walinzi hadi 10 na ushei (+ Video)

2. Anerlisa Muigai

Sikukuu ya Anerlisa ilfanyika mwaka jana.

Mastaa wakubwa walikuwa wamealikwa wakiwemo wanahabari Betty Kyallo, Lilian Muli, Janet Mbugua  na Saumu Mbuvi.

3.Akothee

Akothee aliwatunuku watoto wake gari katika siku ya kuzaliwa kwao.

Hafla hii ilifanyika katika jumba lao la kifahari Mombasa.

Soma hadithi nyingine;

4. Saumu Mbuvi

Saumu ni bintiye gavana wa Nairobi.

Katika siku ya kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa mtoto wake Sasha, inaaminika kuwa mamilioni ya zawadi yalimwagwa.

DJ Pierra Makena alikuwa kati ya waliohudhuria hafla hiyo.