Mwaka wa 2018 Fancy Fingers ndiye aliyeanza kwa kufunga ndoa na mpenziwe Lady Mandy na baada ya Chiki Kuruka kumchukua Bien imewadia zamu ya Savara .Savara amekuwa akituma taswira zinazokinzana kuhusu uhusiano wake na Yvonne Endo na hata ilidhaniwa kwamba huneda uhusiano huo ulikatizwa zamani .Lakini picha zinazotambaa mtandaoni zinawoanyesha wote wawili wakionekana kutekana nyoyo
Picha hiyo iliyowekwa na Savara ni ithibati kwamba uhusiano wao bado upo na thabiti tena .
Picha hiyo ilizua ndimi kweli na maoni yakaanza kufuata
Bien: Heri waliompokea Bwana Yesu, Wana uzima
Chris Kirwa: Aha #SisiKamaInlaws Twa ! I mean Twawapenda wakati huu wa wa kukaa nyumbani
Ephy Saint: Those babies shall be cute
Fancy Fingers: Kesi utajibu baadaye
Koikai: We Savara shindeni kwa kitanda ya 4 by 6… Kidogo kidogo ndio hiyo corona 6inch deep kwa vein
Some guy went ahead to break the hearts of the women who fantasize about Savara saying,
I keep telling y’all to stop fantasizing na mabwana za wenyewe hamsikii..sasa ona mmevunjwa roho tena. Si mtutake tu sisi wenye tunawataka.