Beryl Ouma alikuwa mjamzito kabla ya madai ya mauaji

Familia na marafiki bado hawajaweza kubali kifo cha Beryl Ouma, 28, ambaye anadaiwa kuuwawa na mume wake, akiwa nyumbani kwake Kahawa Sukari.

Mwili wake uliweza kupelekwa katika hospitali ya Neema Uhail na kifo chake hakijajulikana kwa kina kwanini aliweza kufariki ilhali hakuwa na majeraha katika mwili wake.

Mume huyo aliweza kubali kuwa aliweza kumtesa mke wake alipokuwa rumande nakusema kuwa anajuta sana kwa kitendo hicho, mshukiwa huyo anatarajiwa mbele ya mahakama ijumaa.

Marafiki zake hawakuweza kukoma kutuma jumbe za maombolezi huku wakiwa na mshtuko mkubwa. Zifuatazo ni jumbe zao.

Valentine Akoth: This is so sad yawah …I can’t believe you are no more ..was it really necessary to kill her 😪😪😪😪😪😪 why didn’t you let her go instead 😪 need gi kwe nyakisumu

Maggy Kiiti: Why berly,,,, did you have to leave us this early…. So sad.. Can’t hold my tears aki