image source: enca.com
Tanzania suffered a humiliating defeat in the hands of Algeria as they crashed out of the 2018 FIFA World Cup qualidfiers following a 9-2 aggregate loss.
Taifa Stars had managed a 2-2 draw at home and travelled to Algiers with high hopes of staging an upset but were outclassed 7-0 by a merciless Algerian side.
The result saw Tanzanians become the butt of all internet jokes and even them could not help making fun at themselves as the following tweets can testify.
'TZ inashika nafasi ya 3 Afrika kwa unywaji wa pombe za kienyeji' ? Vitu tulivyo barikiwa na Mola, Mpira tuwaachie wakina Neymar tu arifee.
— ARIFEE™ (@Ronetayse)
Arsenal walipigwa 8 kocha alifukuzwa? Tuache kusubiri timu ifanye vibaya tuseme. Mmefanya nini timu iwe bora? Wrong or Right, Tanzania first
— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe)
Kusema kweli tulishasahau mambo haya ya kufungwa magoli makubwa makubwa.Wajuzi wa soka hawashangai kwa sababu Algeria ni team bora sana.
— Paul Mdumi (@PaulMdumi1)
Vile tukiwapokea taifa stars kutoka Algeria, Ndio nini kwenda kutuabisha kwa watu mtoto huna haya wewe arifee.
— ARIFEE™ (@Ronetayse)
Na migoli yote hiyo bado wanaongeza dakika ya nyongeza? Ili iweje? Tupigwe kumi? Shenzi arifee.
— ARIFEE™ (@Ronetayse)
Algeria wangetufunga magoli idadi ya Watanzania kwa ujumla hata wale wenye kuogopa usiku wa leo kila mtu angeenda lala na goli lake arifee.
— ARIFEE™ (@Ronetayse)
Mtanzania aliyekaribu na panapochezwa hiyo mechi atupe kitambaa uwanjani jama ? arifee.
— ARIFEE™ (@Ronetayse)
Hichi ndio kipindi mnatamani mumpatie pesa El chapo timu ikiwa mapumzikoni atoroke nayo isirudi tena kipindi cha pili arifee.
— ARIFEE™ (@Ronetayse)
Ati 'Tanzania kwenda kombe la dunia labda kwa viti maalum' ? Nimeangusha simu arifee.
— ARIFEE™ (@Ronetayse)
Tushapigwa wiki moja swaaafiiiii! Haya tuendelee kutegemea Kamati za Kusaidia Taifa Stars kushinda!! ??
— Albert Gasper Msando (@AlbertMsando)
Kwa shopping tu na kushangaa tupo?????
— ايمن (@Addy_Adams)
Balozi na wafanyazi wa ubalozini huko Algeria wangetuwakilisha kwenye hii mechi na kupunguza gharama za safari kama Raisi alivyosema.
— Albert Gasper Msando (@AlbertMsando)
Tushukuru kwa kila jambo. Hivi kweli tunataka twende Kombe la Dunia kwa timu hii? Au mnataka watuletee perfume duty free?
— Albert Gasper Msando (@AlbertMsando)
Tunachoweza ni kuongelea dole la Nyoso mwaka mzima badala ya kuwekeza kwenye vipaji kitaani#ShameOnUs..7 nyingi sana?
— Super_Bazira (@BaziraJulius)
Ndio kawaida yetu ukijitahidi kidogo sifa kibao ukikosea/ukishindwa matusi ya kutosha ni ufala tukubali hali zote,mvua na mvua zote muhimu
— william mollel (@willymollel)