It’s a boy! Mwanamuziki wa Uganda Juliana Kanyomozi ajifungua mtoto wa kiume

Wasanii tajika nchini Uganda pamoja na mashabiki wa muziki nchini humo wamefurika mitandao ya kijamii kumpa  kongole mwanamuziki Juliana Kanyomozi ambaye amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatano.

Juliana mwenyewe alitumia mitandao ya kijamii kufichua habari hizo njema kwa ulimwengu  na pia kusema jina la mtoto wake-Taj

https://twitter.com/JKanyomozi/status/1260659106068619266

 Mwanamuziki maarufu nchini humo Jose chameleone aliwaongoza wasanii wengine nchini UG kumhongera Juliana kwa kuandika katika twitter ;

https://twitter.com/JChameleone/status/1260687641156206592

Msanii Radio & Weasel  pia alindika ujumbe wa kumpa hongera Juliana kwa kuandika ;

https://twitter.com/RadioandWeasel/status/1260702320389697537

msanii Ykee Benda aliandika ;

https://twitter.com/YkeeBenda/status/1260670631143788545