BUNGOMA: Bawabu amzalisha mama kutokana na mgomo wa madakatari

bungoma-hospital-1111
bungoma-hospital-1111
Huku mgomo wa wahuguzi ukiendelea kote inchini Bawabu mmoja huko Bungoma amemzalisha mwanamke mmoja mja mzito aliyekua amefika katika hospitali ya rufaa ya Bungoma na kuwakosa madakitari.
Benson Wanyonyi alimzalisha Rosebela Marani mwenye umri wa miaka 32 aliyekua amefka kujifungua bila kufahamu wahuguzi wako katika mgomo baada ya kukosa yeyte wa kumsadia alipozidiwa
Wanyonyi anasema amefurahia kumzalisha Rebecca mtoto huyo wa kiume ambaye ako katika hali shwari  licha ya kutokua na ufahamu wa kazi hio