Othuol othuol alikuwa na uvimbe katika ubongo wake

‘Mbona mnapenda kusaidia mtu akiwa maiti?’ Wakenya wakosoa unafiki wa macelebs wa Kenya kwa kumsahau Othuol Othuol

Atazikwa baadaye mwezi huu huko Siaya

Muhtasari

 

  •  Mchekeshaji huyo alihitaji usaidizi wa kifedha ili kutibiwa 
  • Inaibuka kwamba wengi katika fani yake walimtelekeza wakati alipohiaji usaidizi 
  •  Outhuol alikuwa na umri wa miaka 31 

 

Kibonzo cha Marehemu Othuol Othuol

Fani ya uchekeshaji kwa sasa unamboleza kifo cha mchekeshaji Othuol Othuol ambaye aliaga dunia baada ya kupata uvimbe katika ubongo wake .

 Hata hivyo tasira ambayo sasa imejitokeza kuwakera wengi ni unafiki wa baadhi ya mastaa katika   fani hiyo kwani inaibuka kuwa Othuol alitelekezwa na rafiki zake na hata watu mashuhuri waliokuwa wakimfahamu kama rafiki na mwenzoa katika fani ya uchekeshaji .

Othuol Othuol

Kinachoponda zaidi ni kwamba  baada ya kifo chake sasa watu wengi wanajitokeza kuonyesha kuhuzinishwa na  kifo hicho lakini wakati Othuol alipohitaji msaada wao hawakuwepo na wengine hata walimpuuza . Othuol sio wa pekee kupitia haya kwani  imekuwa mtindo sasa mtu mashuhuri akiaga dunia ,wenzake wanaomjua  wanafichuliwa kwa kupuuza mamombi yao wakati walipokuwa hai .

 Mashabiki wameonekana kukerwa na tabia hiyo ya unafiki na pindi Othuol alipotuacha  mwenzake  katika  fani Jalang’o aliandika ;

  'Mungu kuliko chochote .lala  salama … Mbungu ilihitaji kicheko na mungu amekuchagua wewe ! OTHUOL OTHUOL.

 Mwingine Mammito  aliandika .

‘I REMEMBER HOW WE USED TO GO TO CHURCHILL ON THE ROADSHOWS TOGETHER KWA GARI WILL MAKE JOKES HADI TUFIKE … MAKING INTERNAL JOKES THAT NO ONE UNDERSTOOD BUT SISI WENYE TULIKUA KWA LORRY “OUR FAVOURITE PART WAS TUKITOANISHA DANCERS IKIWA CLIMAX” THAT JOKE NEVER GOT OLD. NAKUNITETEA NIKIAMKA LATE , HELPING EACH OTHER CREATE JOKES BEFORE TWENDE KWA MEZA…I AM SO SAD …RIP BRO.’

 Picha ya ujumbe wa Othuol kwa mwenzake kabla ya kifo chake inafichua mambo machungu ya jinsi alivyohitaji usaidizi na hakuna aliyejitokeza kumpa .

 Wakenya wamekerwa na hilo na baadhi yao walitumia mitandao ya kijamii kuonyesha kero zao

Kishkey emax This person is probably having difficulty resting every time he reads Othuol’s unresponded message. Binadamu ni binadamu. Rest easy Othuol Othuol.

Fabiola Rumbi Upatwe na shida that’s when you’ll know your true friends so sad, RIP Othuol.

Jarunda Jaluth Othuol Othuol’s friend who ignored him at his greatest time of need has offered to buy 2 cows during his burial and the coffin. Says he never saw his texts.

Bigboss Anono That’s how our society is rotten when you are alive no one cares but wait until they hear you no more existing they will donate anything.

Akinyi Adongo Yvonne People would rather travel from far to bury you than help you.

Bazenga Mkuu THAT’S HOW WICKED HUMANS ARE. WHEN YOU ARE ALIVE NO ONE OFFERS YOU HELP. LAKINI UKIKUFA ATA COFFIN YA 50K THEY CAN BUY.

Alex Ondieki It happens and its the nature of people nowadays.

Sam Partpey This is such a joke..he never saw the message?? How is that even close to being the truth?…

Eddy Marreli Hakuna siku watu hawaangali Whatsapp, Twitter or Facebook. Pretenders ndio wengi.

leune98wangui Rest easy we have failed you all you ever did was make us laugh. you added us years on earth with your jokes while you were taking yours away only to make us happy. heaven deserves you. shine on.